BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
PT nafasi nyingiSasa km Hawa wanaweza fanya hivi,polisi itakuwaje🤔
Usaili ulifanyika siku 3 mkuu. Majina ya siku moja yalikuw 101 means usaili walifanyiwq watu takriban 300 kwa siku tatu kuanzia tarehe 18 hadi 21...sasa from 300 to 78 sio poa.Hapana mkuu, hao waliitwa mia na kidogo.
Hapana mkuu, hao waliitwa mia na kidogo
Kweli mkuu, sema ungeenda kwenye saili za mkoani ungepata pakuanzia mkuu kuna wale wanasimamia usaili kwa maRPC jaribu kuongea nao hata wale wanao ita watuAjira zipo shida kupata wa kukushika mkono ni mpaka awe na moyo nina watu wa karibu ambao kama wanaamua kunishika mkono basi kazi za usalama hizi majeshi napata,mtu apokei simu zako,meseji anazisoma lkn hujibiwi hata kidogo.unaambiwa kiza kikizidi kunakaribia kucha ngoja tuendelee kuomba mungu huku tukipambana hivyo hivyo tu[emoji120]
Kaka nakuelewa... usikate tamaa ndugu!!!Ajira zipo shida kupata wa kukushika mkono ni mpaka awe na moyo nina watu wa karibu ambao kama wanaamua kunishika mkono basi kazi za usalama hizi majeshi napata,mtu apokei simu zako,meseji anazisoma lkn hujibiwi hata kidogo.unaambiwa kiza kikizidi kunakaribia kucha ngoja tuendelee kuomba mungu huku tukipambana hivyo hivyo tu[emoji120]
Nilifikiria kufanya hivyo,wewe mtu wa pili waniambia ngoja nifanye hivyoKweli mkuu, sema ungeenda kwenye saili za mkoani ungepata pakuanzia mkuu kuna wale wanasimamia usaili kwa maRPC jaribu kuongea nao hata wale wanao ita watu
Kwani Hilo jina la ukoo halipo kwenye cheti Cha kuzaliwa?Hii imekaaje maafsa.
Imetokea kwa mwanangu.
Vyeti vyote vya academics vina majina sawa lakini cheti cha kuzaliwa sir name likikuwa jina la babu ila kwenye vyeti vya academics limetumika jina la ukoo.
Walimuhoji though hawakukomaa sana,(maana mahakamani hajaenda)kuna weza kukawa na shida kubwa?
Halipo, kwenye cheti cha kuzaliwa lipo la babu yake.Kwani Hilo jina la ukoo halipo kwenye cheti Cha kuzaliwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tushachezea vitasauzi umepoa hatari
Muda wa Vitasa bado bado mkuu.Tushachezea vitasa
Hakuna shida kama atapita maana hata baadhi kwenye intake yetu walikuw na hiyo shida ila wakasaidiwa na wanasheria wa polisi kule kwenye mambo ya affidavit. Ila namshauri awe afanye mchakato wa kisheria awe na affidavit maana hiyo itamletea changamoto ikitokea amekosa polisi au akiwa anatafuta kazi nyingine.Hii imekaaje maafsa.
Imetokea kwa mwanangu.
Vyeti vyote vya academics vina majina sawa lakini cheti cha kuzaliwa sir name likikuwa jina la babu ila kwenye vyeti vya academics limetumika jina la ukoo.
Walimuhoji though hawakukomaa sana,(maana mahakamani hajaenda)kuna weza kukawa na shida kubwa?
Na vipi hii issue ya NIDA lets say imekosewa kwenye maswala ya spellings? Au hii case pia ina fall at the same category, kama ulivyo elezea?Hakuna shida kama atapita maana hata baadhi kwenye intake yetu walikuw na hiyo shida ila wakasaidiwa na wanasheria wa polisi kule kwenye mambo ya affidavit. Ila namshauri awe afanye mchakato wa kisheria awe na affidavit maana hiyo itamletea changamoto ikitokea amekosa polisi au akiwa anatafuta kazi nyingine.
Zile za maafisa ambazo sio za kuchomekea ziko poa..kama kaunda suti.Dah wazee ile sare ya police(ile ya kuvalia kiatu official) ni tamu sana ikiwa na vinyota.
Yote humohumo tu...fanya mchakato wa sheriaNa vipi hii issue ya NIDA lets say imekosewa kwenye maswala ya spellings? Au hii case pia ina fall at the same category, kama ulivyo elezea?