Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nahitaji msaada wa connection anipe push nataka kuomba TAKUKURU lkn sina mtu wakunishika mkono adi dk hii wabanga waliosema nafasi nyengine zikitoka niwatafute hawajibu meseji zangu wala simu zangu,hata Polisi na Uhamiaji naimani sijachelewa Kama ntapata connection ntaingia chomboni [emoji120]
 
Ajira zipo shida kupata wa kukushika mkono ni mpaka awe na moyo nina watu wa karibu ambao kama wanaamua kunishika mkono basi kazi za usalama hizi majeshi napata,mtu apokei simu zako,meseji anazisoma lkn hujibiwi hata kidogo.unaambiwa kiza kikizidi kunakaribia kucha ngoja tuendelee kuomba mungu huku tukipambana hivyo hivyo tu[emoji120]
 
Kweli mkuu, sema ungeenda kwenye saili za mkoani ungepata pakuanzia mkuu kuna wale wanasimamia usaili kwa maRPC jaribu kuongea nao hata wale wanao ita watu
 
Ajira zipo shida kupata wa kukushika mkono ni mpaka awe na moyo nina watu wa karibu ambao kama wanaamua kunishika mkono basi kazi za usalama hizi majeshi napata,mtu apokei simu zako,meseji anazisoma lkn hujibiwi hata kidogo.unaambiwa kiza kikizidi kunakaribia kucha ngoja tuendelee kuomba mungu huku tukipambana hivyo hivyo tu[emoji120]
Kaka nakuelewa... usikate tamaa ndugu!!!
 
MUNGU simama na sisi sio kwa haya madhira tunayo pitia, Kila mwenye nia na kusudi mshike mkono, hali ni mbaya.
 
Hii imekaaje maafsa.

Imetokea kwa mwanangu.
Vyeti vyote vya academics vina majina sawa lakini cheti cha kuzaliwa sir name likikuwa jina la babu ila kwenye vyeti vya academics limetumika jina la ukoo.
Walimuhoji though hawakukomaa sana,(maana mahakamani hajaenda)kuna weza kukawa na shida kubwa?
 
Kwani Hilo jina la ukoo halipo kwenye cheti Cha kuzaliwa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii imekaaje maafsa.

Imetokea kwa mwanangu.
Vyeti vyote vya academics vina majina sawa lakini cheti cha kuzaliwa sir name likikuwa jina la babu ila kwenye vyeti vya academics limetumika jina la ukoo.
Walimuhoji though hawakukomaa sana,(maana mahakamani hajaenda)kuna weza kukawa na shida kubwa?
Hakuna shida kama atapita maana hata baadhi kwenye intake yetu walikuw na hiyo shida ila wakasaidiwa na wanasheria wa polisi kule kwenye mambo ya affidavit. Ila namshauri awe afanye mchakato wa kisheria awe na affidavit maana hiyo itamletea changamoto ikitokea amekosa polisi au akiwa anatafuta kazi nyingine.
 
Na vipi hii issue ya NIDA lets say imekosewa kwenye maswala ya spellings? Au hii case pia ina fall at the same category, kama ulivyo elezea?
 
Back
Top Bottom