Duh ! Kimya kimya au sio ?Washafanya usahili vikosini wanasubiri majina watakaoenda kozi tu yaje
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unayoondoka nayo ni 280Naomba kuuliza hivi Suma jkt wanalipwaje mshahara wao kuna mtu ananiconvice kila siku lkn haniambii wanalipwaje kwa anayejua wanalipwaje please??
Kwan hua wanatangaza kama polisi mkuu?Duh
Duh ! Kimya kimya au sio ?
300 kamili boss..Naomba kuuliza hivi Suma jkt wanalipwaje mshahara wao kuna mtu ananiconvice kila siku lkn haniambii wanalipwaje kwa anayejua wanalipwaje please??
Suma wa dodoma wapo wanaokunja 200k.Naomba kuuliza hivi Suma jkt wanalipwaje mshahara wao kuna mtu ananiconvice kila siku lkn haniambii wanalipwaje kwa anayejua wanalipwaje please??
Naweza nikajitupia huko,japo sijajua mkataba wao unaweza ni limit vitu gani na vitu ganiUnayoondoka nayo ni 280
Laki mbili mkuu..Naomba kuuliza hivi Suma jkt wanalipwaje mshahara wao kuna mtu ananiconvice kila siku lkn haniambii wanalipwaje kwa anayejua wanalipwaje please??
Kaka ni 200 kamili boss300 kamili boss..
Mkataba wao hauna mbwembwe mkuu mda wowote ukitaka kubwaga unabwaga tu bila masharti yyte.Naweza nikajitupia huko,japo sijajua mkataba wao unaweza ni limit vitu gani na vitu gani
Hakuna kitu kama hiki...ni 200 kamili mshaharaUnayoondoka nayo ni 280
Nambie chalii anguZodwa
Nakumiss tuNambie chalii angu
Mhhh basi hamna kituHakuna kitu kama hiki...ni 200 kamili mshahara
Unamuombea kwa nani[emoji23]mfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.