Mnaoendelea na usaili wa PT komaeni,mnaotuma maombi MT,UT na ZT kuweni makini na Mungu awatangulie,mnaosubiri Jeshi Senior(TPDF) jipangeni pia hili ni komba komba watu zaidi ya 4000 na mbanga ni Mungu,Cheti cha JKT hasa hasa wale waliojitolea,mnao subiri wazee wa kaunda pale Mbuyuni endeleeni kuomba sana.
Bado kuna PCCB,TAA,KADCO,DEA nao wapo njiani,japo hawa huchukua namba ndogo sana.

Mkuu tupe lonja Vijana....Hali yetu imejawa Na Presha Sana...Mnaoendelea na usaili wa PT komaeni,mnaotuma maombi MT,UT na ZT kuweni makini na Mungu awatangulie,mnaosubiri Jeshi Senior(TPDF) jipangeni pia hili ni komba komba watu zaidi ya 4000 na mbanga ni Mungu,Cheti cha JKT hasa hasa wale waliojitolea,mnao subiri wazee wa kaunda pale Mbuyuni endeleeni kuomba sana.
Bado kuna PCCB,TAA,KADCO,DEA nao wapo njiani,japo hawa huchukua namba ndogo sana.
Hali ni tete baba kanitumaMtumaini Mungu
Twyn
Choo Cha Kulipia
Lubuva84
tztz
Wadau wengine Tunaombeni Lonja,Hakika Usaili wa PT unaelekea ukingoni Mpaka sasa.
Hali ni tete baba kanituma
chlorine gas Lonja tunayosema hapa ni idadi ya Watu Achana na hizo fikra zako za Usaili.Usaili Kwa mtafuta Kazi Yeyote lazima Afanye labda iwe Kazi ya baba Yako au Ndugu Yako.So Usaili ni kitu cha kawaida.....Hahahahahahaha ukimaaniishaaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan hujui ?Hahahahahahaha ukimaaniishaaa?
Usaili unaenda kiongoz ,vijana wajiandae kwenda kunyakua watakaofanikiwachlorine gas Lonja tunayosema hapa ni idadi ya Watu Achana na hizo fikra zako za Usaili.Usaili Kwa mtafuta Kazi Yeyote lazima Afanye labda iwe Kazi ya baba Yako au Ndugu Yako.So Usaili ni kitu cha kawaida.....
Usaili unaenda kiongoz ,vijana wajiandae kwenda kunyakua watakaofanikiwa
Fani zilizo ongezwa kwan washaitwa?Idadi imeongezwa kwenye upande wa fani sio ile iliokuepo kwenye tangazo kwahio watu wawe na amani matumaini yapo...CO naona wanachukua watu 15 badala ya 7
Zilizo ongezwa ni wale wa mtaanIdadi imeongezwa kwenye upande wa fani sio ile iliokuepo kwenye tangazo kwahio watu wawe na amani matumaini yapo...CO naona wanachukua watu 15 badala ya 7
Zilizo ongezwa ni wale wa mtaan
Hata mm nilitaka kufahamu hapaa?Namaanisha hao ambao wapo kurasini sasahivi kwa usaili...wameongeza idadi ya kuwachukua watakao faulu
Sijui ila bogi lipo mwaka huu.Mkuu TPDF lini inakuja..!
Mkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???Sijui ila bogi lipo mwaka huu.
Yani JW bora wawachukue na form six tuMkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???