Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
Mnaoendelea na usaili wa PT komaeni,mnaotuma maombi MT,UT na ZT kuweni makini na Mungu awatangulie,mnaosubiri Jeshi Senior(TPDF) jipangeni pia hili ni komba komba watu zaidi ya 4000 na mbanga ni Mungu,Cheti cha JKT hasa hasa wale waliojitolea,mnao subiri wazee wa kaunda pale Mbuyuni endeleeni kuomba sana.
Bado kuna PCCB,TAA,KADCO,DEA nao wapo njiani,japo hawa huchukua namba ndogo sana.
Hivi PCCB wanachukua kama livyofanya hawa polisi .,vigezo vyao