Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yaan anaenda J K T kwa umri huo au sijaelewa vzr mkuu....na kama anaenda kwa umri huo pengine yuko na elimu ya juu au ana maelekezo maalumu yaan uhakika wa nafasi
Ndio Ana elimu ya juu mkuu sasa vip apo
 
Kitaa kigumu anasema anatak kufight na huko but ndo kwa ngaz ya degree huenda 2024 wakarudi tena hawa jamaa
 
Sio lonja taarifa ishapitishwa na ilishasambazwa kiofisi.
Recruit 1 year
Corporal 3 months na sergeant
Nyota 9 months.

Wafatilie wakubwa zako PT watakupa inside information hiyo
Duuuh mbona kitaumana aseee....hapo ndo unaondoka kitaaa unaiacha manzi yako....mpk uje urud wahuni washafanya msosi.....mwaka mzima
 
Sio lonja taarifa ishapitishwa na ilishasambazwa kiofisi.
Recruit 1 year
Corporal 3 months na sergeant
Nyota 9 months.

Wafatilie wakubwa zako PT watakupa inside information hiyo
Upo sahihi kuna mabadiliko kweli. Madogo watakapita wakakaze kweli kweli maada muda ukiwa mrefu zaidi kuna kuchoka pia na kupelekea kufanya makosa ya kipuuzi. Najua tu wapo weng watazingua tu on the way...hawakosekani ingawa hatuombei hivyo.
 
Daaaah ni hatareee mkuu kama ni hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…