methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Yaan anaenda J K T kwa umri huo au sijaelewa vzr mkuu....na kama anaenda kwa umri huo pengine yuko na elimu ya juu au ana maelekezo maalumu yaan uhakika wa nafasiKuna jamaa huku Ana 26 na ndo kwanza anaenda jenga taifa sasa hii wakuu ipojee haitamletea shda??