Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna wenye lonja za ndanindani uko kaka tujue nini kinaendelea kama tuzidi kutafuta mibanga au tunyooshe mikono juu
Ondoa kitu kinaitwa kukata tamaa. Kama una Mbanga tafuta. Lakini pia, maisha sio kazi za majeshi tu. Tega mitego na kwingine pia. Mlango wako utafunguka tu.
 
Aise kwa muda huu mimi sijampa nafasi kabsa mwanamke,siwez kuwaza et namuachaje..hta ukisema kozi miaka miwili fresh tu
Nakumbuka wakat nimepata nafasi ya kwenda course kutoka kitaa, manzi niliyekuw nae alikuw against kabisa na mm na aliniona ni mbinafsi kuwa namuacha kitaa naingia chomboni. Wakati mwingine inabdi ufanye maamuzi kwa kuangalia maisha yako kwanza badala ya kuwaza "mbususu"...haya mambo yapo tu. Cha msingi build urself kwanza...mbususu utazichakata sana tu. Ingawa binafsi now hazinisumbui kabisa nakomaa na kujijenga kwanza maana hawa viumbe nao ukiwaendekeza unaweza usifikie ile level unayoitaka "usipokuwa makini"
 
Tafta mmoja mwenye akili na mwenye imani ya kweli ya dini halafu utulie hapo
 
Wakuu niaje kwema.....hv kuna watu walipigia usaili kibaha pwani.....na kama wapo vp nyomi la watu lilikuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…