mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
form six tumepiga nao pepa uhamiaji mwaka huu, kifupi wanachukuaForm 4 haiwezekan umri umeshapita jee zikija uhamiaj akitumia cha form 6 jee
Ndo mpaka uwe na mbanga Sasa,huna itabidi mtu uwe mpole
Cha msingi uwepo tu kwenye PDF.Ila ukiwa na mbanga unapita fresh tu au cyo
Next weekPDF ya UT& PT kimya kimetawala sijui wanaviziana
Na form 6 wamesema mtu asizid miak 28 kwa hio mwsho miak 27 au vipform six tumepiga nao pepa uhamiaji mwaka huu, kifupi wanachukua
Mwisho 28Na form 6 wamesema mtu asizid miak 28 kwa hio mwsho miak 27 au vip
Next week
28Na form 6 wamesema mtu asizid miak 28 kwa hio mwsho miak 27 au vip
Hio utaenda wiki mbili mpaka tatu mkuu...sio kawaida yao mkuu,huwa ni wiki moja tu,saiz wamevuta tunakaribia wiki lapili. mi nadhani wataachia weekend
As long as Jina lako limepita kwenye pdf ya mwisho hamna wa kukurejesha nyumban .Cha msingi uwe na vyeti halisi.Wakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
Watakupangia wao mkuu. Hilo sio juu yako ni juu yao wenyeweInawezekana ila sasa sijajua ukimaliza kozi kwamfano unataka kwenda kuripoti kwenye Kikosi utaenda Kikosi Gani?
Hii ni kweli wala sio uongoNimetumiwa naona si vibaya kushare nanyi ila sijui kama ni kweli au lahView attachment 2511562
Hao wenye mibanga waliingia lakini kwa kupitia kwenye ujenzi walipelekwa kwenye ujenzi wakatumikia wakatokea hukoUncle alikuwa anataka walio makambinibtuu hasa walio jenga,Japo wenye mibanga mizito waliingia
Kwamba wanaingia chombo kipi?Hii ni kweli wala sio uongo
Uongo, tena uongo kabisaHii ni kweli wala sio uongo
watu wenye fani za ICT,mechanical,drivers majina hya kufika hata 100 mkuu coz waliitwa pale mbele ili wakafanye usahili wa vitendo ut-uzunguni. mi nahis mchakato uko slow tu safari hiiHio utaenda wiki mbili mpaka tatu mkuu...
Watu n weng waliofanyiwa usaili ukilinganisha na nyakat zilizopita hasa wenye fani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe upo wapi?Kwamba wanaingia chombo kipi?
Nawewe upo wapi?Uongo, tena uongo kabisa