Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dcea,takukuru,magereza na polisi zimeundiwa tume maalumu kutathmini ufanisi na utendaji wao maana imeonekana hawako fair kiutendaji so hii inaweza wapa uoga na wakawa fair safari hii kwenye ajira wakuu
 
Hakuna kitu kama hivi. Degree afu una mkopo..ulipwe hiyo basic . Heslb waje wakate utabakiwa na hiyo pesa? No way it doesn't make sense.NI UONGO
Mbona kawaida hio 800k Kwan bodi wanachukua asilimia ngap hapo...
Pesa iko fair hapo...unaweza kukuta unabak na 600k

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa salary ya laki 8 na una mkopo hespb..take home ni 540k bila makato ya bima
...kwa wizara ya mambo ya ndani wana allowance kila katikati ya mwezi 300k
Sasa mkuu 540k kwa mwezi na una degree kuna kufanya jambo la maana kweli mjini apa au ndo ilimradi siku ziende tu ila TPDF wale jamaa kwenye salary sio poa private tu salary anayokunja kwa mwezi sio poa
 
Embu tuwekana sawa hapa kama mwalimu anapewa 700k na anakatwa mkopo na kila kitu anachukua 500k+, inakuwaje wa 800k plus nae achukue 500k +.
Msipotoshane......basic ni 830k then toa asilimia15 ya loan board,kisha toa kodi na pssf(75000+41000)
Jibu utakalopata ndio take home zao....
 
Msipotoshane......basic ni 830k then toa asilimia15 ya loan board,kisha toa kodi na pssf(75000+41000)
Jibu utakalopata ndio take home zao....
Nampotasha nani mkuu maana ulivo ni quote ni kama napotosha watu humu, embu soma vizur maelezo yangu nimeuliza swali.
 
Kuna mwanangu yupo MT kaniambia ni laki 5 kwa mwezi, warder, kuna posho mia 3, na ration mia 3 baada ya miezi 3......labda kama atakuwa kanidanganya
 
MUHIMU:
-maslahi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani ni sawa tofauti ipo kidogo mnoo

-majeshi yote ni bora,na kila jeshi lina majukumu yake na changamoto zake pia

-muhimu ukipata nafasi ingia chomboni lakin ufikirie ya kufanya nje ya mshahara hapo ndio utatoboa kimaisha.

All the best
 
Unaweza nisahihisha mkuu maana nimeandika lkn sina uhakika
Private wa kule take home yao haizid 550k,then jumlisha na hizo posho posho,tena wao ration ya chakula 300k wanalipa yote kwa mzabuni cash....
Isipokua wale wana posho za pango,maji,umeme

Then hawana bima ambayo kwa wizara ya ndani ni free(ya utumishi unaongeza wategemezi) ila kwa kule naskia wana fomu zao special sjui za matibabu japo sijazijua vizuri

MIMI NAELEWA HIVYO
 
Hasa
Dcea,takukuru,magereza na polisi zimeundiwa tume maalumu kutathmini ufanisi na utendaji wao maana imeonekana hawako fair kiutendaji so hii inaweza wapa uoga na wakawa fair safari hii kwenye ajira wakuu
Takukuru , hawa ndio matapeli na wababaishaji wakubwa , ni aibu chombo muhimu na nyeti takukuru wanajihusisha na mambo ya ovyo sana kama walivyofanya mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…