Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mi Mkongwe sana kwenye Game Mdogo wetu...
Tunachange I'ds na Avatar kulingana na Game..
Nimekuepo hata kitambo sana na akina
Alvin01 , Tang'ana , Allern Snr , Makanya Jr. Nanga wa kwata n.k kwenye 2015 -16 kitambo kidogo...
Leo Niko huku mitaani .
Sio poa mkuu
 
Au mwaka huu hawakuchukua watu. Chief
pale msata kuna wale military science tangia December.. Hao 2500 wamepelekwa wapi au bado hajaanza kozi chief
mbona jw hawajaenda wengine tokea wamalize int ya 41 wapo mil science kama 400 wanamalizia kozi pale msata ndio waanze wengine
Shida hamtaki kuelewa mumeomba lonja mnapewa mnaanza kubisha ao 2500 ndo wanao enda saiv pia mwezi wa nane wanarudi tenna kuchukua watu wengine so nyie jipangeni ambao mtakosa saiv mwezi wa nane wanakuja pia zandani zaidi nahis adi police watarudi mwezi wa nane sito taka tubishane tennna nimeshawap lonja ichukueni iyo msife moyo ndgu zangu
 
Bonge la ronja
 
Police watakujaje na watu hawajamaliza Coz mwezi wa nane nafikiri mpka december
 
Nieleweshe mkuu kuhus police kuja tena tuanze kutafuta mbaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…