Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mnapigishwa kazi kama manamba halafu mnaishia kuwa vilema na kazi hampati ,nchi hii , masikini lazima ateseke haswa 🙈🙈🙈🙈
 
mbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
 
mbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
Mbaga Ilikuwa na CV gani (nyota ngapi) kiongozi?

Maana kama jina lilikuwepo halafu unatolewa mwishoni kabsa inamaanisha wenye idara ya kozi yako hawajamuelewa Mbaga wako au cheo kidogo hawakumuogopa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…