Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwenye intake ya PT iliyopita kuna issue ya homa ya ini ilirudisha watu kadhaa nyumbani na wengi wao ni kama walikuw wanatokea kambi moja ya jkt...inaonekana waliambukizana huko. Ila kiukweli waliohusika na ujenzi ile kazi iliwaathiri maana nimekutana na vijana wanashida sana ya vifua na migongo...inaonekana walipiga kazi haswa.
Mnapigishwa kazi kama manamba halafu mnaishia kuwa vilema na kazi hampati ,nchi hii , masikini lazima ateseke haswa 🙈🙈🙈🙈
 
mbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
 
mbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
Mbaga Ilikuwa na CV gani (nyota ngapi) kiongozi?

Maana kama jina lilikuwepo halafu unatolewa mwishoni kabsa inamaanisha wenye idara ya kozi yako hawajamuelewa Mbaga wako au cheo kidogo hawakumuogopa!!
 
Back
Top Bottom