Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapigishwa kazi kama manamba halafu mnaishia kuwa vilema na kazi hampati ,nchi hii , masikini lazima ateseke haswa 🙈🙈🙈🙈Kwenye intake ya PT iliyopita kuna issue ya homa ya ini ilirudisha watu kadhaa nyumbani na wengi wao ni kama walikuw wanatokea kambi moja ya jkt...inaonekana waliambukizana huko. Ila kiukweli waliohusika na ujenzi ile kazi iliwaathiri maana nimekutana na vijana wanashida sana ya vifua na migongo...inaonekana walipiga kazi haswa.
Mhh bila mbanga kutoboa ni ngumu sana, probability ya kupata approximately zeroNi 10 yupo sahihi
Naona wanaenda pia na vifaa vya usafi na mafyekeo na majembe ...Mwendo km jktDuuh uko kweli kwepesi yaani hadi mto inamaana muda wa kulala ni wakutosha
kiazi cha uyole,mfwende to mpina , wakuu sijabahatika kuondoka na bogi la uhamiajiVipi kaka umebahatika Awamu hii?
Mbaga Ilikuwa na CV gani (nyota ngapi) kiongozi?mbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
imestafu man. nakuhakikishia kma ingekua kwenye system hata watu kumi ningekuwemoMbaga Ilikuwa na CV gani (nyota ngapi) kiongozi?
Maana kama jina lilikuwepo halafu unatolewa mwishoni kabsa inamaanisha wenye idara ya kozi yako hawajamuelewa Mbaga wako au cheo kidogo hawakumuogopa!!
Dah....imestafu man. nakuhakikishia kma ingekua kwenye system hata watu kumi ningekuwemo
Duh nimekuelewa broimestafu man. nakuhakikishia kma ingekua kwenye system hata watu kumi ningekuwemo
imelaani vibaya. but no way ngoja niwasikizie utumishi kama nitatusuaDuh nimekuelewa bro
levo za nyota alivuka kitambo mkuu,
Kwa hio chief hata ukiwa na mbanga hutoboi hiimbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
hamna yangu imestafu, so naona hata ikitoa order haizingatiwi sababu iko out of system now mwaka wa 5 huu,but ni mbanga kweli man.Kwa hio chief hata ukiwa na mbanga hutoboi hii
Duhh wakuu hiv UT unaweza kupita kwa kutumia cheti cha form 6 na huna ujuzi wowot ukitoa hiko chetihamna yangu imestafu, so naona hata ikitoa order haizingatiwi sababu iko out of system now mwaka wa 5 huu,but ni mbanga kweli man.
yaah, connection na MUNGU wakoDuhh wakuu hiv UT unaweza kupita kwa kutumia cheti cha form 6 na huna ujuzi wowot ukitoa hiko cheti