mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mtu hataki kukupa maisha bureMkuu hii nakubaliana na wewe kabisa kwa degree inakuwa ngumu sana sjui kwa nini
Kila siku tunaongea humu ndani mpka tunachoka Mujibu wa sheria cheti alichopewa na wa kujitolea vyote ni sawa wote mmepita jktNAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NAOMBQ KUULIZA WAKYU WITE HUMU
NASKIA RONJA KWA WENYE VYETI VYA MUJIBU WA SHERIA HAWATAKIWI PT WAMETEMWA JE NI KWELI??? HASA KWA WALOOMBEA FORM FOUR???? NAOMBA KUWASILISHA
Yaani ndio hivyo lazima mfuko utobokemtu hataki kukupa maisha bure
Nashukuru sana nimekuelewa ndugu yangu. Tunaomba mungu hapa maana matumaini yangu PT tuKila siku tunaongea humu ndani mpka tunachoka Mujibu wa sheria cheti alichopewa na wa kujitolea vyote ni sawa wote mmepita jkt
We unadhani hao madaktari na hao vetenary walioitwa usaili ni kujitolea ? Wengi ni mujibu yaani miaka mitano sua au muhimbili halafu ukajitolee [emoji3][emoji3] [emoji1787]
Ni mmoja ktk mia
Siunajua kaka Maneno ya watu anasema et mtandaoni kaona. Nkasema sio mbaya kimbilio langu jamiiSasa yeye kajuaje Kama mujibu wametemwa wakati mkeke bado...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
umakini tu unahitajika,kukwepa matapeliNinachowasihi ishini na watu vizur humu jf....kuna watu wakubwa sana humu ndani,.majeshi yote wamo humu...
Connection utazipata humuhumu ukiwa mjanja na mdadisi
SureNahisi ni kwa sababu degree holders hasa kwa TPDF wengi ni lazima waje wavae nyota hawatakiwi kuishia hivi vyeo vya NCOs, na ukizingatia jeshini wanahitajika maaskari (wapiganaji) wengi zaidi kuliko maafisa, ndio maana wanalimit kuingiza degree na kujaza form four kwa sana
Alokwambia maofsa sio wapiganaji ni nani??? Hv hujui kama maofsa ndio wanakua front line kwenye battlefield??Nahisi ni kwa sababu degree holders hasa kwa TPDF wengi ni lazima waje wavae nyota hawatakiwi kuishia hivi vyeo vya NCOs, na ukizingatia jeshini wanahitajika maaskari (wapiganaji) wengi zaidi kuliko maafisa, ndio maana wanalimit kuingiza degree na kujaza form four kwa sana
Ndo wanakua wanajua War strategies wanaongoza vitaAlokwambia maofsa sio wapiganaji ni nani??? Hv hujui kama maofsa ndio wanakua front line kwenye battlefield??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima mze baba nmeishi na maafande wengi sana wengine wapo tuu det huko ni makoplo wanabeba siraha na hawajapata nafasi ya kwenda cadet,mwingine alikiwa rafiki yangu pale makao makuu ya jkt alieudishwa TMA na masters yake waliletwa wakae hangs moja na sisi maservice kwahiyo tukawa marafiki sana watasusimulia vingi sanaNahisi ni kwa sababu degree holders hasa kwa TPDF wengi ni lazima waje wavae nyota hawatakiwi kuishia hivi vyeo vya NCOs, na ukizingatia jeshini wanahitajika maaskari (wapiganaji) wengi zaidi kuliko maafisa, ndio maana wanalimit kuingiza degree na kujaza form four kwa sana
wanasimuliwaga mtaani tuu.Alokwambia maofsa sio wapiganaji ni nani??? Hv hujui kama maofsa ndio wanakua front line kwenye battlefield??
Sent using Jamii Forums mobile app
kepteni ndio anakua mbele sio poa. sema wengi wanakua makoplowanasimuliwaga mtaani tuu.
,hawajui officer ndio anakuwa mbele na wafuasi mnafuata ishara kutoka kwake.na mara nyingi ndio adui huanza nae maana huwa mbele akifuatiwa na mwenye siraha nzito
Hahahha[emoji23].. Haya bn!!!Mkuu maafisa wengi huwa ni viongozi sio washika silaha
hao ni wa JKT[emoji23]Mkuu maafisa wengi huwa ni viongozi sio washika silaha
achana na wale maafisa tulio wazoea wa jkt,ungetembelea hata vikosi vya utayari au vile vyenye namba 2 tuu ungejua maafisa wanafanyaga niniMkuu maafisa wengi huwa ni viongozi sio washika silaha
Ni sababu Tz Niya Amani Ila kama so ivyo... Zile training wangezi apply...Mkuu maafisa wengi huwa ni viongozi sio washika silaha
najua hujawah ona afisa kavaa mayoko(hayo mapambo) huyo alikuwa anaitwa lt Masota alisha tanguliaachana na wale maafisa tulio wazoea wa jkt,ungetembelea hata vikosi vya utayari au vile vyenye namba 2 tuu ungejua maafisa wanafanyaga niniView attachment 2522120