Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NAOMBQ KUULIZA WAKYU WITE HUMU
NASKIA RONJA KWA WENYE VYETI VYA MUJIBU WA SHERIA HAWATAKIWI PT WAMETEMWA JE NI KWELI??? HASA KWA WALOOMBEA FORM FOUR???? NAOMBA KUWASILISHA
Kila siku tunaongea humu ndani mpka tunachoka Mujibu wa sheria cheti alichopewa na wa kujitolea vyote ni sawa wote mmepita jkt

We unadhani hao madaktari na hao vetenary walioitwa usaili ni kujitolea ? Wengi ni mujibu yaani miaka mitano sua au muhimbili halafu ukajitolee [emoji3][emoji3] [emoji1787]

Ni mmoja ktk mia
 
Nashukuru sana nimekuelewa ndugu yangu. Tunaomba mungu hapa maana matumaini yangu PT tu
 
Nahisi ni kwa sababu degree holders hasa kwa TPDF wengi ni lazima waje wavae nyota hawatakiwi kuishia hivi vyeo vya NCOs, na ukizingatia jeshini wanahitajika maaskari (wapiganaji) wengi zaidi kuliko maafisa, ndio maana wanalimit kuingiza degree na kujaza form four kwa sana
Sure
 
Alokwambia maofsa sio wapiganaji ni nani??? Hv hujui kama maofsa ndio wanakua front line kwenye battlefield??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ni kwa sababu degree holders hasa kwa TPDF wengi ni lazima waje wavae nyota hawatakiwi kuishia hivi vyeo vya NCOs, na ukizingatia jeshini wanahitajika maaskari (wapiganaji) wengi zaidi kuliko maafisa, ndio maana wanalimit kuingiza degree na kujaza form four kwa sana
Sio lazima mze baba nmeishi na maafande wengi sana wengine wapo tuu det huko ni makoplo wanabeba siraha na hawajapata nafasi ya kwenda cadet,mwingine alikiwa rafiki yangu pale makao makuu ya jkt alieudishwa TMA na masters yake waliletwa wakae hangs moja na sisi maservice kwahiyo tukawa marafiki sana watasusimulia vingi sana
 
maafisa wengi wanao kwenda wapo kwenye risk kubwa sana maana adui anaanza kumuwinda yeye
20230218_215658.jpg
 
wanasimuliwaga mtaani tuu.
,hawajui officer ndio anakuwa mbele na wafuasi mnafuata ishara kutoka kwake.na mara nyingi ndio adui huanza nae maana huwa mbele akifuatiwa na mwenye siraha nzito
kepteni ndio anakua mbele sio poa. sema wengi wanakua makoplo
 
Mkuu maafisa wengi huwa ni viongozi sio washika silaha
Ni sababu Tz Niya Amani Ila kama so ivyo... Zile training wangezi apply...
Course ya officer cadet weka mbali na watt
Hakuna ambae ametoka iyo course ukimuuliza asikusimulia mikiki...
Mwengine alisema Ile * unatunukiwa na Mwenyezi wengi huitamani Ila wenye kutunukiwa ndo huipata
 
Back
Top Bottom