Makoplo Mara nyng ndo huwa wapiganaji katika Vita...Hilo naelewa mkuu lakini nikuulize wewe vitani kwenye kombania wanajeshi wanaopigana vita wengi huwa wana vyeo gani
Cc tumesemea leader... Cyo eti ma officer wote ndo wataenda ni leader tu... Soldiers ndo kama woteHilo naelewa mkuu lakini nikuulize wewe vitani kwenye kombania wanajeshi wanaopigana vita wengi huwa wana vyeo gani
Yaan Tz pangekuwa na vita ndo tungewaona huo watu wa connection kama wangeleta kiherehere kama walichonacho sasaiv hahahahaMkuu nawafahamu hadi kina Luteni Rajab Mlima, naye alikuwa komandoo alifia huko Congo kwenye kulinda Amani, ila nimeuliza tu wengi wanaopigana vita kwenye kombania huwa ni wanajeshi wa vyeo gani
Mkoa wa Mbeya usaili wa magereza mujibu wa sheria wote wametolewa yani hawakuruhusiwa kufanya usailiNAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NAOMBQ KUULIZA WAKYU WITE HUMU
NASKIA RONJA KWA WENYE VYETI VYA MUJIBU WA SHERIA HAWATAKIWI PT WAMETEMWA JE NI KWELI??? HASA KWA WALOOMBEA FORM FOUR???? NAOMBA KUWASILISHA
Uko sahihiMkuu hayo ya kwamba officers ndio leaders yanajulikana maana captain ndio huwa kiongozi wa company, lakini wao ni wapiganishaji tu ukiongelea wapiganaji asilimia kubwa huwa ni ma sergeant, corporal na private sasa ndio point yangu hapo awali ilikuwa jeshi linahitaji wapiganaji wengi zaidi kuliko hao viongozi
Ndio asakari lazma wawe wengi sana...Mkuu hayo ya kwamba officers ndio leaders yanajulikana maana captain ndio huwa kiongozi wa company, lakini wao ni wapiganishaji tu ukiongelea wapiganaji asilimia kubwa huwa ni ma sergeant, corporal na private sasa ndio point yangu hapo awali ilikuwa jeshi linahitaji wapiganaji wengi zaidi kuliko hao viongozi
Watu washaanza kurud huko unfitNdio asakari lazma wawe wengi sana...
Na pia Kuna ishu ya ku hide idadi ya askari wanaoingia Kwasababu za kiulinzi... Nadhani inaweza kuwa pia sababu yaku wasajili vijana makambini jw kimya kimya mpaka wa uraiani kupata lonja... Isipokuwa tu kundi maalum kama engineers na doctors maana hawa hawapo kwa idadi inayo kidhi kwenye Kambi za jkt
Kundi gani?Watu washaanza kurud huko unfit
DrsKundi gani?
Daah...Nina wenzangu wengi wameenda hilo bogie. Kama wangapi ?
Fact mkuu hyo M3 ni kubunda tosha Kwa kijana aliye maliza chuo kama mtajKwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni mkubwa kuliko hiyo mibanga mnayoitegemea naongea haya nikishuudia mbele ya Mwenyezi Mungu nina ushahid binafsi mpaka kesho nasema Allah akipanga hakuna wa kupangua huko JW mnaposema ni pagumu kama Mungu kakupangia ni kwepesi kama kunywa glass ya maji.
Baadhi fanya mawasiliano Kama watakuwa wamaerd jamaa wametoka SabaDaah...Nina wenzangu wengi wameenda hilo bogie. Kama wangapi ?
[emoji3]daah sasa wameitiwa wa niniMkoa wa Mbeya usaili wa magereza mujibu wa sheria wote wametolewa yani hawakuruhusiwa kufanya usaili
Naomba unitumie link ya huo Uzi .....maafisa wengi wanao kwenda wapo kwenye risk kubwa sana maana adui anaanza kumuwinda yeyeView attachment 2522093
MT wametaka form four. Kama ni mujibu bila shaka ni form 6. Hivyo wamewakata kwa kigezo hicho.[emoji3]daah sasa wameitiwa wa nini
Kuna sehemu nyengine utakuta wamefanya
Nina jamaa yangu yy ndoto yake muda mrefu ilikuw kuingia jeshini. Kamaliza Masters yake karibuni. Kajipeleka kuomba nafasi kuingia huko jeshini. Anasubiri kuingia course maana proffession yake muhimuFact Haina haja ya kutoa m3 Kwa ajil yakupata Kaz kweny majesh na wakat hyo M3 n mtaj Tosha Kwa kijana aliyemaliza chuo
Hyo M3 Bora ukakod mashamba huko rufiji ulime
Fact mkuu hyo M3 ni kubunda tosha Kwa kijana aliye maliza chuo kama mtaj
Bora hyo M3 ukakod mashamba huko rufij ulime nyanya au ufuta aluf utajirike tu
Au uje huku unyamaan kwenye forex na crypto
Sidhani kama ni koteMT wametaka form four. Kama ni mujibu bila shaka ni form 6. Hivyo wamewakata kwa kigezo hicho.