Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hahah yani haya masuala hayana formular, mara watake wataalamu, mara watake ngumbaru, mara hivi mara vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kama Mungu hajakujaalia kuwa kwenye majeshi, aiseeh ni ngumu kutoboa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Minimum GPA Ya kuendelea na elimu ya masters ni 2.7GPA UP TO 5GPA.NA 2.7GPA IKO CLASS MOJA NA 3.0.GPA.zote ni lowe second class. Ko ukisema GPA ni 3.0 nAshindwa kuelewa kwakigezo kipi waanzie 3.0GOA TU?


UNGESEMA 3.5GPA ni gejua wanachukua upper second class, clarified
NA
 
Wakitaka wataalamu wataindicate fani kama walivyotoa polisi. Kwa hiyo tusiforce tu mambo huko tukubaliane na mahitaj yao huku tukipambana na mishe zingine
 
Ukweli ni kwamba kwa fani ukiwa na GPA, vigezo vyote unavyo, paper yao umefanya vizur utachukuliwa tu. Kujifariji ety kuwa GPA haiangaliwi ni kujipa moyo kwenye kitu ambacho hakipo.
 
Ukweli ni kwamba kwa fani ukiwa na GPA, vigezo vyote unavyo, paper yao umefanya vizur utachukuliwa tu. Kujifariji ety kuwa GPA haiangaliwi ni kujipa moyo kwenye kitu ambacho hakipo.
GPA tu! sio kigezo cha kuchukua watu hata kwenye usahili wowote! Pia majeshi hayanaga hizo mambo ya ufaulu wa darasani sana ! As long as umekizi vigezo unayo nafasi! Msipene ronja zisizo na msingi
 
Haya yote sio muhimu...muda ukifika watatoa tu achen kujipa pressure zisizo na msingi
Police Tanzania wana website na taarifa zao zote zinapatikana kule....ila tushazoea kupeana mbili tatu za hapa na pale, mbivu na mbichi, za kweli na uongo hapa jamiiforum kiongozi wangu, so sio kwamba twajipa pressure tunajua fika kwenye the so called lonja sio zote ni za kweli na tunajua taarifa ya hakika ni ya website ya police Tanzania...

Wala hatujipi pressure maana tunajua kwenye lonja utaskia mengi sana na binafsi nimeanza ku comment kwenye huu uzi tuseme wiki Jana koz majeshi nayajua vizuri haswa!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
My point is mtu anapotoa lonja na isikamilike basi msimuattack maana anything can change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…