Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakuna cha six week mambo ya ndani....by saa4 tuu mnaendalala....

Ila mnaamka saa8 au9 alfajir mchakamchaka
TENA KWA JESHI LA MAGEREZA MTAAMKA MCHAKAMCHAKA SAA 8 AU TISA KUANZIA MNARIPOTI KAMBINI HADI SIKU MOJA KABLA YA KUAPA
 
mkuu una info na majeshi yote !?
Ndio maana jana nlisema hapo juu username hizi msizichukulie rahisi,humu jf kuna watu tofauti tofauti

Na ukiwa mdadisi na mkarimu humu humu unaweza ukapata connection [emoji23]..

Sema ukisema hivyo wadau wanadhan nataka watu waje DM ili niwapige hela...

Mimi ata sitaki mtu aje DM ,najaribu kushare mawazo tuu
 
information zako ni controversial sana mkuu,lazima mtu atakudauti tu
 
Wakuu vp kwema.....uzima upo kweli....naona kimya sana, wadau ni kama wanapotea hv kidogo kidogo
 
Mwaka jana kuna mtu humu jf alikua anajiita mrgeneous amesaidia watu wengi sana kuvaa kivazi...
 
iv ikitokea umechaguliwa kwenda cpp utaratibu huwa unakuaje kama ulituma maombi kwa kigezo cha form 4
 
Una... maelekezo mazito kijana....next week...Mambo yatajibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…