Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dah...[emoji119]
 
Ko tofauti na JW huendi au..
Ikitokea naenda tuu, maana hakuna namna. Ili mradi niwe nalinda usiku, kupiga kwata kwa unaa mkubwa, kombati ya jeshi niwe naitupia kwa mwili ile imenyooshwa kwa pasi mpaka nzi anakatika akijichanganya ! Buti inang'ara kama kioo ....kidevu kiwe kipara kichwani kuwe na upara, kila siku mabio mazoezi ya kukata na shoka, niwe napiga Combat karatee balaa niwe napambana na adui kwa silaha ile kama vitani hiviii .... na kupata raha zingine za kijeshi kama hizo, ndio nafsi yangu itaridhika na siku hiyo ntamshukuru sana mwenyezi Mungu ikitokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]oyaaa umetisha afande morali ya juu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]oyaaa umetisha afande morali ya juu sana
Morali ipo ya kutosha imejaa mpaka inamwagikia lakini nafasi hupewi anapewa mhuni ambaye yani jeshi siyo hobi yake kiufupi mwana kule anafuata mshahara tuu kwa sababu Inakuwa hana namna nyingine ya kufanya yani ajira imeshindikana kupatikana kitaa ndiyo sasa akipata nafasi kule anaona bora aende akale mshahara wa jeshi lakini wakisema haya vijana twende mstari wa mbele kupigana kuna vita ... weeee wahuni wanaacha manyoya vibaya mno na kugwaya. Sasa mimi na (wengine) tatizo ni kwamba mtu unapenda jeshi kwa dhati ya moyo wako siyo kwamba unafuata hizo posho, kinachotesa mtu ni kupenda jeshi Maana kama ni hela ukikomaa mtaani unazipata tatizo nafsi mamamamaee inauma kisengeee
 
Kama unauwezo wa kuzipata hela mtaani...nakushauri weka nguvu kwenye kutafuta pesa.
 
Sasa utarudisha mwaka nyuma fingerprints za vidole huwezi badili ukienda weka kidole kwenye mashine taarifa zako za mwanzo zinakuja hapo ndo jela inakuita kuidanganya jamuhuri
 
Changamoto inakuja hapo sasa. Ni vigumu kweli.
Hivi mnaamini finger print za kibongo? Mbona ukitaka kuretrive taarifa zako wanataka majina matatu ya baba na mama, kama hizo finger print zingekua imara si tungetia kidole tu? Tz hawana database kubwa na ndio maana Wala hawajisumbui kuajili MATEHAMA wenye kufanya mambo kiurahisi
 
Taarifa zako Zinakuja vizuri tu.....mfano ukiwa unasajili laini ya simu kwa NIDA kitendo Cha kuweka vidole kwenye kile kimashine BAC taarifa zinakuja zote pia wale walio pata mkopo na boom kipind wanasoma mambo ya fingerprint yalikua muhimu....
Kwaio system iko vzr tu...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nida huwezi kubadilisha mwaka na ukizubaa unaenda jera mkuu

Nida wana maelekezo wameshapewa kuhusu wanaotaka kubadili miaka ukifika tu wanakuwa wanajua why unataka ubadili
 
Nida huwezi kubadilisha mwaka na ukizubaa unaenda jera mkuu

Nida wana maelekezo wameshapewa kuhusu wanaotaka kubadili miaka ukifika tu wanakuwa wanajua why unataka ubadili
Kudadadek ! shoo kali sana aiseeeh kwa hiyo hakuna kufurukuta babaaaah
 
Angalia maisha mengine. Usiforce usije ukajuta kabisa. Kuna maisha mengine nje ya majeshi.
 
Sorry ndugu zangu!
Hivi Kuna mtu anajua ASA microfinance wanalipa shi ngap?
 
Ila kwa sasa Teknolojia iko juu sana mtu anaweza pata tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…