Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania



Badili umri tu Mambo ya nida achana nayo usiguse kikubwa uzame jakata
Ahaaah nilitaka kufanya QT ili nibadilishe majina, nikarudie kidato cha nne maana hii digri ya physics (bsc in physics) haijaniwezesha kujiunga na kuwa askari JW. Ili badae nisake gamba jipya la kuzaliwa nishushe umri kisawasawa kwa kadri ya hawa wanangu wa "Juliet Whiskey Tango Zulu" wanavyotaka, ili badae nikajitolee kule "Juliet Kilo Tango" ili wakija tuu kufanya usaili basi niibuke nao yani niwe nimewakamata na wasiwe na pa kuchomokea wasinitanie .... lakini basi kama hilo gamba la utaifa itakuwa shida basi ngoja niwe mpole japo ntaumia maisha yote *****
 
Mzee aise acha tu namimi napenda kupiga doria sana au guard usku
 
Naona wanangu wa PT wamechoka sana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hizi lonja za kilasiku mnazidi kuwavuruga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…