Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Oya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
Duh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIP
 
Duh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIP
Iko hivi kwa watu wa fani usaili haurudiwi kwa sababu majina ya interview ya mwanzo yalitangazwa,kwa hy Kama wakisema warudie kufanyisha upya lazima watoe pdf mpya ya majina kwa hy wameita watu wengine wanafanya kwa mara ya pili japokuwa majina ya watu wa mwanzo yashaenda makao makuu

Lakini kwa form four ,usaili sehemu nyingi umerudiwa tena kimyakimya
Kwa sababu huku hamna Mambo ya PDF ya majina ya watu ya kuitwa kwa interview
 
Point yako ni kwamba walioko kilwa road sio watu fani au
 
Sjaelewa nikaona jibu zuri ni kukaa kimya nakusubiri PDF the rest ni unnecessary stress....

Sasa najiuliza kuwa baadhi ya fani kama alivyosema member hapo juu huko kilwa road sjui afya na nini vile wanapigishwa tena usaili....

Sasa najiuliza wanapigishwa usaili kuwa waliofanya usaili walikuwa wachache hivyo watachukuliwa wote na watapungua that's why wanapigisha usaili au wana lengo gani lingine...

Ngoja tusubiri PDF tu ndio inatuhusu mengine hayatuhusu
 
Kwa jinsi nilivyomuelewa,ilipaswa waongezwe kutoka wale walio achwa,Ila kwakuwa kunawatu Wana watu wao wakaamua kufanya usahili ili wawaingize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…