Mr RMJ
JF-Expert Member
- Jun 30, 2022
- 454
- 904
Kuna uhaba kw baadhi ya taaluma.Kama huamini nenda hata kesho kilwa road hapo mfano kwenye kikosi afya na kikosi cha mbwa na farasi ,utakuta watu wanapiga usaili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uhaba kw baadhi ya taaluma.Kama huamini nenda hata kesho kilwa road hapo mfano kwenye kikosi afya na kikosi cha mbwa na farasi ,utakuta watu wanapiga usaili
Duh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIPOya lonja hii nawapa,japokuwa itaumiza hususani kwa watu wa fani
Iko hivi usaili Kuna baadhi ya mikoa na vikosi unafanyika Tena mara ya pili
Tena kimya kimya,kwa watu wenye mibuyu yao.
Mwanangu mbona unashindwa kujiongeza ,hawakuwepo kwenye majina ya usailiDuh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIP
Eeeh waaah! VIP treatment. Na hao kupata possibility %99.9Duh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIP
Nna maanisha ni kwamba maanake hawa watu kweny majina usahil hawakuwepoMwanangu mbona unashindwa kujiongeza ,hawakuwepo kwenye majina ya usaili
Sawa mkuu endelea kutoamini but haizuii kukwambia we na wenzetu humu Kwamba Mambo Bado coz leo j3 Moro usaili umerudiwa kwa watu kadhaaSijaamini taarifa hiyo.
Ndiyo hawakuwepo. Yaani wao ni very exceptional.Nna maanisha ni kwamba maanake hawa watu kweny majina usahil hawakuwepo
Ooh okay. Kuna taarifa pia wengine wale wa fani wapo wanafanya usaili kilwa roadSawa mkuu endelea kutoamini but haizuii kukwambia we na wenzetu humu Kwamba Mambo Bado coz leo j3 Moro usaili umerudiwa kwa watu kadhaa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Iko hivi kwa watu wa fani usaili haurudiwi kwa sababu majina ya interview ya mwanzo yalitangazwa,kwa hy Kama wakisema warudie kufanyisha upya lazima watoe pdf mpya ya majina kwa hy wameita watu wengine wanafanya kwa mara ya pili japokuwa majina ya watu wa mwanzo yashaenda makao makuuDuh...mbona noma sasa . Ko inamaana hao watu hata kwenye majina ya usail hawakuwemo au walikuwemo lkn ni usaili wa VIP
Ndio kwa herufi kubwaNna maanisha ni kwamba maanake hawa watu kweny majina usahil hawakuwepo
Point yako ni kwamba walioko kilwa road sio watu fani auIko hivi kwa watu wa fani usaili haurudiwi kwa sababu majina ya interview ya mwanzo yalitangazwa,kwa hy Kama wakisema warudie kufanyisha upya lazima watoe pdf mpya ya majina
Lakini kwa form four ,usaili sehemu nyingi umerudiwa tena kimyakimya
Kwa sababu huku hamna Mambo ya PDF ya majina ya watu ya kuitwa kwa interview
Hawarudi ni kwamba as where wanafanyisha upyaSawa mkuu endelea kutoamini but haizuii kukwambia we na wenzetu humu Kwamba Mambo Bado coz leo j3 Moro usaili umerudiwa kwa watu kadhaa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ni watu wa fani nilikuwa namaanisha usaili hawafanyi upya Kama form four ila wanafanyisha mara ya piliPoint yako ni kwamba walioko kilwa road sio watu fani au
You made it crystal clear. NimekwelewaNi watu wa fani nilikuwa namaanisha usaili hawafanyi upya Kama form four ila wanafanyisha mara ya pili
Kwa hiyo Kama una hakika ulifanya usaili vizuri mara ya Kwanza ,basi punguza mteru,Kisha tafuta maziwa ya mtindi kunywa huku ukisubiria pdfYou made it crystal clear. Nimekwelewa
Kwa form four ndo inavoenekana hivo,maanake kama huna connection kishwa habari yako [emoji24][emoji24][emoji24]Ko ule usaili ulikuwa ni bosheni tu...hahaa kwMba inabid warudie..
Kwa jinsi nilivyomuelewa,ilipaswa waongezwe kutoka wale walio achwa,Ila kwakuwa kunawatu Wana watu wao wakaamua kufanya usahili ili wawaingizeSjaelewa nikaona jibu zuri ni kukaa kimya nakusubiri PDF the rest ni unnecessary stress....
Sasa najiuliza kuwa baadhi ya fani kama alivyosema member hapo juu huko kilwa road sjui afya na nini vile wanapigishwa tena usaili....
Sasa najiuliza wanapigishwa usaili kuwa waliofanya usaili walikuwa wachache hivyo watachukuliwa wote na watapungua that's why wanapigisha usaili au wana lengo gani lingine...
Ngoja tusubiri PDF tu ndio inatuhusu mengine hayatuhusu