Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waliokuwepo kilwa road leo ni watu wa mbwa, marine na mziki ndo waliokuwa wanafanya usaili. Na sio kwamba wanarudia. Hawakufanya usaili wa kwanza na hawakuwemo kweny pdf ya kwanza...
 
We jamaa unaelewa kweli ulichokuwa umeandika??
Watu wa marine na mbwa na farasi even muziki usaili walishafanya na majina yao yalikuwepo kwenye PDF ya kuitwa kwa ajili ya usaii na walifanya usaili Kati ya tarehe 23 mpaka 27 januari
 
Waliokuwepo kilwa road leo ni watu wa mbwa, marine na mziki ndo waliokuwa wanafanya usaili. Na sio kwamba wanarudia. Hawakufanya usaili wa kwanza na hawakuwemo kweny pdf ya kwanza...
Kama hujui kitu usikurupuke kuja kuandika andika hapa,kwa uhakika zaidi angalia PDF ya majina ya walioitwa kwa usaili utaona hao watu wa marine,muziki na mbwa na farasi wapo
 
Nimegundua HUmu watu wanaropoka tu...mimi leo nimeenda kilwa road braza. Kama wewe ni moja wa hizo taaluma utajijua... mm nimeenda kilwa road leo. wanafanya walikuwa ni watu wa mziki, mbwa na marine... ko braza nachosema sijakiskia. Nimeenda mimi kilwa road. Ko kama unakaza kichwa kaza ila huo ndo ukweli
 
Kama hujui kitu usikurupuke kuja kuandika andika hapa,kwa uhakika zaidi angalia PDF ya majina ya walioitwa kwa usaili utaona hao watu wa marine,muziki na mbwa na farasi wapo
Waliokuwepo leo kweny usaili hawapo kweny pdf la mwanzo... na wengi wao hawajapita jkt. Na nilimuuliza mmoja je kwann wamekuja kufanya usaili wakat tangazo halipo. Alinipa jibu.
 
Hii taarifa mbona alishaitoa Kuna jamaa juu hapo anaitwa sijui borosilicate na kaeleza vizuri tu au labda hukumuelewa
 
Jamaa alisema kwamba usaili unafanyika mara ya pili kwenye baadhi ya vikosi ,akasema mfano mbwa na farasi
 
Bas wewe ndo hujanielewa...sijabadili alichosema huyo mwamba. Mi nimesema kile nilichokiona leo. It was just an updates. Siku crush point ya mtu
Ni kweli Kuna sehemu tulikuwa hatujaelewana Mimi nilijua unasema kwamba usaili haukuwahi kufanyika kwenye vikosi vya mbwa na farasi,marine na muziki
 
Waliokuwepo leo kweny usaili hawapo kweny pdf la mwanzo... na wengi wao hawajapita jkt. Na nilimuuliza mmoja je kwann wamekuja kufanya usaili wakat tangazo halipo. Alinipa jibu.
Jmniii acheni.....mteru soldiers kinachoxubiriwa....Ni watu wamelize kozi...then ndyoo waiachie pdf
 
Aise kumbe Kuna ka usaili ka watu ambao hawajapita jkt...
Na sisi tulopita jkt ndo unakuta unakula ndoige dah!!!
 
Tupe reason aise...
Ofcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).
Ila ni bora nisiseme. Cuz watu humu kila mtu anaconnection . Naweza kusema jamaa alichonijibu hf akatoka mtu humu akaenda kuipigia connection yake ikawa mambo mengi. Mi nnacho insist kama mtu uko dar tenga nauli yako nenda kilwa road uulize utakao wakuta watakupa majibu. Kama mtu uko mkoani subiria tu pdf.
 
Wewe toa sababu ya hao watu kuitwa kimya kimya ,kwa sababu Bila ,yule jamaa borosilicate kuongea Jana wewe usingejua Kama Kuna watu now,wanapiga usaili kilwa road
 
Ofcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).
Ila ni bora nisiseme. Cuz watu humu kila mtu anaconnection . Naweza kusema jamaa alichonijibu hf akatoka mtu humu akaenda kuipigia connection yake ikawa mambo mengi. Mi nnacho insist kama mtu uko dar tenga nauli yako nenda kilwa road uulize utakao wakuta watakupa majibu. Kama mtu uko mkoani subiria tu pdf.
Sasa km upo dar na sio kada yako walioitwa utaenda kufanya nin? Yani wakufanyie wewe usahili wkt umeshafanya boss ili iweje mjuba
 
Nipo Dar kwa sasa NIda ipo mda sana tangu 2017 mkuu, nilitaka kujua kama hawaulizi ķwenye usaili ili nijipige kifua nikajaribu tena bahati JKT. Au kama inawezekana nijisajiri upya nibadilishe mwaka wa kuzaliwa na jina kabisa. Ili wakiihitaji jeshini nisipate taabu maana hii iliyopo umri wake ni wa hovyo sana ni mkubwa majeshi hayautaki na mimi ndiyo yule mwenye mahaba mazito na hicho chombo yani siambiwi wala sisikii ! Ni shida sana. Vipi kupata nida nyingine inawezekana ukizingatia alama za vidole vyangu tayari wanazo kule ? Nasaka jeshi kwa udi na uvumba yan
Unakwenda ofisi za nida unawaeleza kwamba taarifa zako za mwaka wa kuzaliwa sio sahihi wanakupa fomu unajaza na wanakupa acc.no ya bank unalipia 20000 kubadilisha taarifa
 
Back
Top Bottom