Hili ndo jibuKwa jinsi nilivyomuelewa,ilipaswa waongezwe kutoka wale walio achwa,Ila kwakuwa kunawatu Wana watu wao wakaamua kufanya usahili ili wawaingize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo jibuKwa jinsi nilivyomuelewa,ilipaswa waongezwe kutoka wale walio achwa,Ila kwakuwa kunawatu Wana watu wao wakaamua kufanya usahili ili wawaingize
We jamaa unaelewa kweli ulichokuwa umeandika??Waliokuwepo kilwa road leo ni watu wa mbwa, marine na mziki ndo waliokuwa wanafanya usaili. Na sio kwamba wanarudia. Hawakufanya usaili wa kwanza na hawakuwemo kweny pdf ya kwanza...
Kama hujui kitu usikurupuke kuja kuandika andika hapa,kwa uhakika zaidi angalia PDF ya majina ya walioitwa kwa usaili utaona hao watu wa marine,muziki na mbwa na farasi wapoWaliokuwepo kilwa road leo ni watu wa mbwa, marine na mziki ndo waliokuwa wanafanya usaili. Na sio kwamba wanarudia. Hawakufanya usaili wa kwanza na hawakuwemo kweny pdf ya kwanza...
Nimegundua HUmu watu wanaropoka tu...mimi leo nimeenda kilwa road braza. Kama wewe ni moja wa hizo taaluma utajijua... mm nimeenda kilwa road leo. wanafanya walikuwa ni watu wa mziki, mbwa na marine... ko braza nachosema sijakiskia. Nimeenda mimi kilwa road. Ko kama unakaza kichwa kaza ila huo ndo ukweliKama hujui kitu usikurupuke kuja kuandika andika hapa,kwa uhakika zaidi angalia PDF ya majina ya walioitwa kwa usaili utaona hao watu wa marine,muziki na mbwa na farasi wapo
Waliokuwepo leo kweny usaili hawapo kweny pdf la mwanzo... na wengi wao hawajapita jkt. Na nilimuuliza mmoja je kwann wamekuja kufanya usaili wakat tangazo halipo. Alinipa jibu.Kama hujui kitu usikurupuke kuja kuandika andika hapa,kwa uhakika zaidi angalia PDF ya majina ya walioitwa kwa usaili utaona hao watu wa marine,muziki na mbwa na farasi wapo
Hii taarifa mbona alishaitoa Kuna jamaa juu hapo anaitwa sijui borosilicate na kaeleza vizuri tu au labda hukumuelewaWaliokuwepo leo kweny usaili hawapo kweny pdf la mwanzo... na wengi wao hawajapita jkt. Na nilimuuliza mmoja je kwann wamekuja kufanya usaili wakat tangazo halipo. Alinipa jibu.
Bas wewe ndo hujanielewa...sijabadili alichosema huyo mwamba. Mi nimesema kile nilichokiona leo. It was just an updates. Siku crush point ya mtuHii taarifa mbona alishaitoa Kuna jamaa juu hapo anaitwa sijui borosilicate na kaeleza vizuri tu au labda hukumuelewa
Yawezekana yuko sahihi..ila watu wawili niliowauliza wamesema wao hawapo kweny mkeka wa kwanza... na walinipa sabb kwann wako pale. Na sabb yao ni reasonable.Jamaa alisema kwamba usaili unafanyika mara ya pili kwenye baadhi ya vikosi ,akasema mfano mbwa na farasi
Ni kweli Kuna sehemu tulikuwa hatujaelewana Mimi nilijua unasema kwamba usaili haukuwahi kufanyika kwenye vikosi vya mbwa na farasi,marine na muzikiBas wewe ndo hujanielewa...sijabadili alichosema huyo mwamba. Mi nimesema kile nilichokiona leo. It was just an updates. Siku crush point ya mtu
Jmniii acheni.....mteru soldiers kinachoxubiriwa....Ni watu wamelize kozi...then ndyoo waiachie pdfWaliokuwepo leo kweny usaili hawapo kweny pdf la mwanzo... na wengi wao hawajapita jkt. Na nilimuuliza mmoja je kwann wamekuja kufanya usaili wakat tangazo halipo. Alinipa jibu.
Tupe reason aise...Yawezekana yuko sahihi..ila watu wawili niliowauliza wamesema wao hawapo kweny mkeka wa kwanza... na walinipa sabb kwann wako pale. Na sabb yao ni reasonable.
Ofcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).Tupe reason aise...
Wewe toa sababu ya hao watu kuitwa kimya kimya ,kwa sababu Bila ,yule jamaa borosilicate kuongea Jana wewe usingejua Kama Kuna watu now,wanapiga usaili kilwa roadOfcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).
Ila ni bora nisiseme. Cuz watu humu kila mtu anaconnection . Naweza kusema jamaa alichonijibu hf akatoka mtu humu akaenda kuipigia connection yake ikawa mambo mengi. Mi nnacho insist kama mtu uko dar tenga nauli yako nenda kilwa road uulize utakao wakuta watakupa majibu. Kama mtu uko mkoani subiria tu pdf.
Sasa km upo dar na sio kada yako walioitwa utaenda kufanya nin? Yani wakufanyie wewe usahili wkt umeshafanya boss ili iweje mjubaOfcuz jamaa alinipa reason & jins wao wameambiwa wakafanye usaili( yaan wamejuaje hiyo issue wakat hamna tangazo).
Ila ni bora nisiseme. Cuz watu humu kila mtu anaconnection . Naweza kusema jamaa alichonijibu hf akatoka mtu humu akaenda kuipigia connection yake ikawa mambo mengi. Mi nnacho insist kama mtu uko dar tenga nauli yako nenda kilwa road uulize utakao wakuta watakupa majibu. Kama mtu uko mkoani subiria tu pdf.
Mi nna Assume hujanielewa. Haina shida lkn .Sasa km upo dar na sio kada yako walioitwa utaenda kufanya nin? Yani wakufanyie wewe usahili wkt umeshafanya boss ili iweje mjuba
Haina namna ngoja tusubiri kuamanishwe tuMi nna Assume hujanielewa. Haina shida lkn .
Unakwenda ofisi za nida unawaeleza kwamba taarifa zako za mwaka wa kuzaliwa sio sahihi wanakupa fomu unajaza na wanakupa acc.no ya bank unalipia 20000 kubadilisha taarifaNipo Dar kwa sasa NIda ipo mda sana tangu 2017 mkuu, nilitaka kujua kama hawaulizi ķwenye usaili ili nijipige kifua nikajaribu tena bahati JKT. Au kama inawezekana nijisajiri upya nibadilishe mwaka wa kuzaliwa na jina kabisa. Ili wakiihitaji jeshini nisipate taabu maana hii iliyopo umri wake ni wa hovyo sana ni mkubwa majeshi hayautaki na mimi ndiyo yule mwenye mahaba mazito na hicho chombo yani siambiwi wala sisikii ! Ni shida sana. Vipi kupata nida nyingine inawezekana ukizingatia alama za vidole vyangu tayari wanazo kule ? Nasaka jeshi kwa udi na uvumba yan