Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
MBna una uandishi sawa na yule jamaa wa ikuluNina Million 2 wakuu nataka nijilipue Dar nikatafute maisha,, ushauri wenu,, kuanzia maisha na shughuli nzuri kwa mtaji huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBna una uandishi sawa na yule jamaa wa ikuluNina Million 2 wakuu nataka nijilipue Dar nikatafute maisha,, ushauri wenu,, kuanzia maisha na shughuli nzuri kwa mtaji huo
Uyu kama sikosei ni Lyoba mwanzo aliweka Avatar ya The Imp wa Game of ThronesMBna una uandishi sawa na yule jamaa wa ikulu
Kuna ugumu flani ndugu si umeona wana walivyoandika huko juu ?Kabadilishe nida wanaruhusu ila unalipia 20000
Ndio mimi mkuu.Uyu kama sikosei ni Lyoba mwanzo aliweka Avatar ya The Imp wa Game of Thrones
Sasa ulikuwa unaficha nini ?,wadau wamekuuliza ufunguke humu reason ya hao watu kwenda kufanya usahili kimyakimya we unaleta mauza uza hapa na kona kona , wabongo bana.[emoji120]
Yule jamaa wa ikulu mara anatumia bachelor II ...nahisi amekosa Ut huko anasubiri PTUyu kama sikosei ni Lyoba mwanzo aliweka Avatar ya The Imp wa Game of Thrones
Nimekuelewa mkuu,,, ila hiyo mil 2 ni kwa ajili ya biashara tu. Maswala ya kodi na maradhi nina fungu lakeMOSHI UFUNDI kabla hujafika huku jiulize mambo yafuatayo
Kwa kuwa unakuja kuanza maisha inamaana hauna pa kufikia, ndugu, jmaaa wala rafiki,
Na kama hauna itakulazimu upange na kununu mahitaji ya chumba, na kulipa kodi,
Kutafuta ni biashara gani itakayokufaaa na kuendesha maisha yako ya kila siku,
Kumbuka hyo ml 2 ni lazima uigawe nyingine kwenye kodi, na vitu vya ndani, inayobaki iwe ya mtaji wa biashara
nyingi san hiyo bossNimekuelewa mkuu,,, ila hiyo mil 2 ni kwa ajili ya biashara tu. Maswala ya kodi na maradhi nina fungu lake
Bhas mbona hakuna shaka mkuu....biashara zipo nyingi mno kwa mtaji wako mkuuNimekuelewa mkuu,,, ila hiyo mil 2 ni kwa ajili ya biashara tu. Maswala ya kodi na maradhi nina fungu lake
Kuna mtu wilaya ya igunga alikuwa na miaka 25 + 1 day siku ya usahili. Akaambiwa amezidi umriIla mungu ni wetu sote na hatujui anatuepusha na nini.....hv MT wanachoringia ni kitu gani, hv kweli mtu kuzidi mwaka mmoja mbele au miwili mbele ni kweli kwamba hawezi kupiga kozi au kuna sababu nyingine tu........mungu anasikia kilio cha wengi
Huko ni pagumu, Siri ya kambiWadau Nini kinaendelea JWTz mbona napo kimya sana?