Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama una mbuyu ongea nao vizuri aiseee bado hawajaanza kozi kuna walio maliza juzi wakafanyiwa sherehe sasa kuna wengine wataanza kureport kuanzia kesho nadhani kwa ajili ya kuungana na wenzao waliotangulia
Kuna wana wapo makambini na wengine wanainfo
 
HABARI
Naomba kuuliza wakuu nimeona swala la kurekebisha NIDA na gharama ikiwa ni Tsh 20000 je INACHUKUA MUDA WA SIKU NGAPI KUKAMILISHA MAREKEBISHO????
 
Wakuu hivi kweli polis unaweza toboa ukiwa na shahada ya ualim lkn kuna mbanga inakusimamia maan mtu asjejitia Tamaa bure
 
Lonja nililopata nikwamba wale wa account,wamechukuliwa 8,na wemeambiwa trh 15 kulipoti
 
Back
Top Bottom