Xavee
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 424
- 636
Wengine tushaanza kujiandaa kisaikolojia kupokea ndoige...!!uZi umepoa kila champ anasubiri PDF
Kama kuna watu wameshaanza kupigiwa simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tushaanza kujiandaa kisaikolojia kupokea ndoige...!!uZi umepoa kila champ anasubiri PDF
Hawatachanganywa na mujibu kwenye kozi?Kwa Vijana wa kujitolea JKT mwaka huu wanapiga miez mi4 na sio sita kama ilivyozoeleka kumbe
Ahaaah, Naomba kufahamu Kwa nini jeshi limebadili utaratibu.Kwa Vijana wa kujitolea JKT mwaka huu wanapiga miez mi4 na sio sita kama ilivyozoeleka kumbe
Hata utumishi connection zipo ila angalau kuna afadhaliUkweli ni Kwamba kupata kaz UT,PT,TPDF, PCCB kwa zama hiz kama huna connection aka mbanga ni ndoto Kam za alinacha, ni Bora uwekeze nguvu Utumishi kule amna upendeleo wat wanapat kaz bila mbanga ni uwez wako tu
Tupo tunapita pita jukwaaniAfsa naona bdo unasaidia vijana
Sijui kuna nini lkn Vijana walianza kozi wa 12 na wanaapa mwezi huuAhaaah, Naomba kufahamu Kwa nini jeshi limebadili utaratibu.
Hapana ..naona ni utaratibu mpya
Mkuu, sisi tulioomba nafasi na hatuna connection yoyote ila sala pekee tusisubiri hata huo mkeka(pdf)?Hata utumishi connection zipo ila angalau kuna afadhali
Tusubirii kaka ... dua kwa wingiMkuu, sisi tulioomba nafasi na hatuna connection yoyote ila sala pekee tusisubiri hata huo mkeka(pdf)?
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Itakuwa jambo jema sana wanajukwaa tukikutana TPS.Tusubirii kaka ... dua kwa wingi
Hahaha blaza baba kantuma hizo hazikosekaniTuamini PT watakuwa fair kwa sababu walituhakikishia hilo. Mwenye vigezo ndiye ataajiriwa. Hakuna cha baba kantuma. View attachment 2536400
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Mujibu wa sheria au kujitolea?Sijui kuna nini lkn Vijana walianza kozi wa 12 na wanaapa mwezi huu
The wait is going to be overIt's getting close
[emoji16][emoji16]sureThe wait is going to be over
Pdf wanayo kuitoa tu ndo wanakawia. Hawajui tunaisubiri kwa hamu haijalishi majina yawepo au yasiwepo miongoni.[emoji16][emoji16]sure
Mbon mara hii wana utaratibu wa kupiga simuPdf wanayo kuitoa tu ndo wanakawia. Hawajui tunaisubiri kwa hamu haijalishi majina yawepo au yasiwepo miongoni.