Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Pdf wanayo kuitoa tu ndo wanakawia. Hawajui tunaisubiri kwa hamu haijalishi majina yawepo au yasiwepo miongoni.
Hahahhaa watu washajiandaa tyr Kwa ndoige au kupata sema ukijiandaa Kwa mawili huwezi kuumia sana mkeka ukitoka
 
PDF huenda wanasubiri PCCB watoe majina ili wote waende CCP Kwa pamoja. NB. Lonja tu hiyo
 
Ndege Tai red Barrett unazozikubali
IMG_20230305_202313.jpg
 
Back
Top Bottom