Upo teari kwenda MT??Kaka nazikubali sana ..
Tatzo wanaingia watu ambao hawaipendi hii kazi halfu tunaachwa wafia jeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo teari kwenda MT??Kaka nazikubali sana ..
Tatzo wanaingia watu ambao hawaipendi hii kazi halfu tunaachwa wafia jeshi
Siku hizi wanaingia watu waliokosa ajira kwahyo wanapakimbilia tu huko ili mambo yao kiuchumi yakae sawa jeshi kama hukupapenda kwa moyo ..huko baadae utakuja kueleza mwenyweNdege Tai red Barrett unazozikubaliView attachment 2538397
Kaka MT ndio napakubali zaidi tena nipangiwe kijijin huko maporini...Upo teari kwenda MT??
Wewe kweli unafaa.....asilimia 100.Kaka MT ndio napakubali zaidi tena nipangiwe kijijin huko maporini...
Kuna nn tena[emoji23][emoji23][emoji119] watuu
Bariadi kuna Camps Matongo na Kahama ipo Kanegele specials kwa kilimo hizo utalia tu!!Kaka MT ndio napakubali zaidi tena nipangiwe kijijin huko maporini...
Watu wanayapaenda haya madude... lkn Nadhn Ni kwasbb Ya ukosefu wa ajira... ila mtu ukiwa na kazi nyingine nzur tu unapata pesa yako...Haya Sio MaKazi.Kuna nn tena
Week gan hiyoThis week PDF itashuka and if will late not until Tuesday of next week bosses[emoji419]Inshallah
That means Today???This week PDF itashuka and if will late not until Tuesday of next week bosses[emoji419]Inshallah
Week hii inayoanza leo usku yan haiwez pita 11 march bossWeek gan hiyo
That means Today??? Absolutelly yeah
OkPDF Ipo tayari ni vile tu wana subiri request from upstairs afu kuna zile Interview zilizokuw znafanywa mwishon zlchelewa kuwa repoated Ex Arusha
Tunafanyaje chief....na miaka inasonga asee kila siku ni ndoige, mfwende sawadogo simuoni siku hz, Xmonster nae chief sjui kapata chimbo gani aseeeTulishawekwa pembeni chief