Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

@Choo Cha Kulipia mkuu haujanijibu swali langu ndugu,kwanini iwe mwaka mmoja,kuna kitu gani kipya kimekua introduced kwenye jeshi la polisi?
Au ndio matumiz ya tehama aya?
Nafikiri kuna mahali Askari wa PT wanakwama katika utendaji wao wa kila siku,Dunia inaenda kasi sana sasa hivi uhalifu uko wa aina mbalimbali na more advanced hivyo lazima muende na mabadiriko haya na kwa kuanzia lazima kuboreshwa kwa mafunzo husika na ndiyo maana zamani kwenye mafunzo ya PT hawakuwa wakienda zoezi la porini ila sasa wanaenda na wameongezewa silaha za kujifunza na kuna kuwa na kifaru kabisa na silaha nyingine za msaada hivyo lazima mambo yaboreshwe.
 
Na aya mambo haujalishi unafani lazima ujazwe maarifa haya?
Hivi ukichukilia askari wa USA mfano NYPD,wana belt ina vifaa vingi kwaajili ya usalama
Kwa unavyoona kwa jinsi tunapoenda na sie tutafika huko?
Maana kama ulivyosema new n advanced threats zimeongezeka au kumpa kila askar short itaenda na utimamu wa askar wetu haswa kizaz kipya
 
Bado sana kufikia level zile bajeti yetu hairuhusu hivyo,kila Askari awe na bastola na alale nayo nyumbani ni ngumu sana Askari watazikodisha kwa wahalifu tu,la muhimu ni kuboreshewa kwanza masilahi yao kuwapunguza vishawishi kwa Askari wetu.
 
Bado sana kufikia level zile bajeti yetu hairuhusu hivyo,kila Askari awe na bastola na alale nayo nyumbani ni ngumu sana Askari watazikodisha kwa wahalifu tu,la muhimu ni kuboreshewa kwanza masilahi yao kuwapunguza vishawishi kwa Askari wetu.
Very true
 
Ila mkuu TPDF haipo wizara ya mambo ya ndani
 
Vyombo vilivyo chini ya mambo ya ndani vyote kozi ni miezi 9.Tena safari hii PT kuna uwezekano wakapiga mwaka mzima.
Magereza wanapiga miezi michache kuliko PT. Mara nyingi magereza hupiga miezi 4 mpaka 6. Rejea depo za mwaka 2014's.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…