Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Nafikiri kuna mahali Askari wa PT wanakwama katika utendaji wao wa kila siku,Dunia inaenda kasi sana sasa hivi uhalifu uko wa aina mbalimbali na more advanced hivyo lazima muende na mabadiriko haya na kwa kuanzia lazima kuboreshwa kwa mafunzo husika na ndiyo maana zamani kwenye mafunzo ya PT hawakuwa wakienda zoezi la porini ila sasa wanaenda na wameongezewa silaha za kujifunza na kuna kuwa na kifaru kabisa na silaha nyingine za msaada hivyo lazima mambo yaboreshwe.@Choo Cha Kulipia mkuu haujanijibu swali langu ndugu,kwanini iwe mwaka mmoja,kuna kitu gani kipya kimekua introduced kwenye jeshi la polisi?
Au ndio matumiz ya tehama aya?