stepping stone man
Member
- Aug 13, 2019
- 59
- 133
Kama una mbuyu ongea nao vizuri aiseee bado hawajaanza kozi kuna walio maliza juzi wakafanyiwa sherehe sasa kuna wengine wataanza kureport kuanzia kesho nadhani kwa ajili ya kuungana na wenzao waliotanguliaWadau Nini kinaendelea JWTz mbona napo kimya sana?
Kuna wana wapo makambini na wengine wanainfoKama una mbuyu ongea nao vizuri aiseee bado hawajaanza kozi kuna walio maliza juzi wakafanyiwa sherehe sasa kuna wengine wataanza kureport kuanzia kesho nadhani kwa ajili ya kuungana na wenzao waliotangulia
UnatoboaWakuu hivi kweli polis unaweza toboa ukiwa na shahada ya ualim lkn kuna mbanga inakusimamia maan mtu asjejitia Tamaa bure
Really mkuu c masihara??Unatoboa
Yaani Kuna usaili Tena unaowaondoa waliochaguliwa kwenda tanga?Kama mujibu hawawataki, haya hao wa kujitolea waliozidi umri mwaka mmoja au miwili mbele bado hawawataki, haya division 1, 2, 3 bado pia hawazitaki......sasa MT wanahitaji watu wa namna gani
Mtu anazungumzia MT, hayo ya Tanga yametokea wap tenaYaani Kuna usaili Tena unaowaondoa waliochaguliwa kwenda tanga?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wanatafutwa kimya kimya wale waliopata kama wa takukuru au hakuna cha pdfLonja nililopata nikwamba wale wa account,wamechukuliwa 8,na wemeambiwa trh 15 kulipoti
Itatoka Ila ndo hivyo,baadhi naona watakuwa wanajijua tayariKwahiyo wanatafutwa kimya kimya wale waliopata kama wa takukuru au hakuna cha pdf
Sent using Jamii Forums mobile app
Good move for them.Lonja nililopata nikwamba wale wa account,wamechukuliwa 8,na wemeambiwa trh 15 kulipoti
Ndo sababu ya kupigiwa? Au kuwa informed kwa email?Kuna ambao wanakuwa informed kama Kuna vitu vyao havijakaa sawa wakamilishe...
Ndio ni kupigiwa cyo emailNdo sababu ya kupigiwa? Au kuwa informed kwa email?