Kujijua ni lzm hasa ukiwa wanahitaji baadhi ya taarifa zako au unamaanisha mtu kapigiwa kuwa kachaguliwa Zen na kapewa tarehe ya kuripoti?Kuna watu baadhi yao wameshajijua
[emoji849][emoji849] ila last time walisema majibu tutakuta kwenye website [emoji22]Kuna watu baadhi yao wameshajijua
Wanaojijua ni wachache kuliko wasiojijuaKuna watu baadhi yao wameshajijua
Mkuu uliomba Kwa fani auZimamoto walitoa pdf chap sana. Maybe kwavile walihitaji watu wachache
Hahahhaa watu washajiandaa tyr Kwa ndoige au kupata sema ukijiandaa Kwa mawili huwezi kuumia sana mkeka ukitokaPdf wanayo kuitoa tu ndo wanakawia. Hawajui tunaisubiri kwa hamu haijalishi majina yawepo au yasiwepo miongoni.
Ndiyo mkuuMkuu uliomba Kwa fani au
Utapata mkuu si hamkuwa nyomi kwenye fani yako??Ndiyo mkuu
Zenji nahisi ni taratibu zao,hata watu ni wachache tofauti na bara wanaweza chukua hata watu 3000 kupigia sim kila mtu ni kaziZenji mbon watu washajijua zaman tu waliopata
Course mbili tofauti hiz hazihusianiPDF huenda wanasubiri PCCB watoe majina ili wote waende CCP Kwa pamoja. NB. Lonja tu hiyo
Mkuu mwaka huu wamechelewa sana au ndo kawaida yaoCourse mbili tofauti hiz hazihusiani
Kaka nazikubali sana ..Ndege Tai red Barrett unazozikubaliView attachment 2538397