Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kwenye harakati fulani kitaa.....nikakutana na bawa bawa mmoja hv akiwa kafuga ndevu, na rasta fulani hv kama za kuongezea.....hawa jamaaa ni hatarree aseee
 
Majina pt ndio kwanza yapo Mkoan kwa wale form 4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Tulien kwanza vijana
 
Kitu ambacho wanasubiri ni wale Rita na Nida ofisi kuweka sawa changamoto zao mana mpk ripoti zao ziende Mamlaka then zirud tena Makao
 
Hapo ni baadhi ya Taarifa kutoka Rita na mamlaka Nida kwa baadhi ya Succeed applicants ndo ambayo yanasubiriwa yahakikiwe yatumwe makao ndo wakamilishe PDF
 
Makamanda mbna hamna subira...kuweni wavumilivu pdf litatolewa na watu wataenda coarse...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…