Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Lonja niliopata ni kwamba... Nafas zilikuwa nyingi na wengi wameshapita ila wameomba makao makuu kuongeza vijana wengine...

Ni lonja wakuu sio kitu cha uhakika sana.
 
Kwamba lile nyomi la watu wote pale baracks, DPA n.k na bado wameomba watu wengine tena kuongezwa
 
Kuna idadi waliopaswa kuajiri mfano 1000... Wameomba kuongeza idadi mfano 1500... Nadhani umeelewa sasa
 
Nyie mapoti ndio mmepigwa ile jeshini tunaita " AS YOU WERE " au sio ? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, ajira za polisi zimesitishwa ,za ndaani kabisa hizo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wenzenu Ulaya wakitumia vya jamaica huwa wanalala au ku relax nyie mnashika simu ndo matokeo yake mnapotosha umma..Em kama hujui ktu kaa kimya
 
Ajira zipo jamani ila zitachelewa tu kutoka kuna process inafanyika kdgo kwahyo Inahitaji Patience..Wachen kupotosha watu kwny social networks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…