Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio LA msingi zaidi kuliko vyotekumshukuru
Kwamba lile nyomi la watu wote pale baracks, DPA n.k na bado wameomba watu wengine tena kuongezwaLonja niliopata ni kwamba... Nafas zilikuwa nyingi na wengi wameshapita ila wameomba makao makuu kuongeza vijana wengine...
Ni lonja wakuu sio kitu cha uhakika sana.
haiwezekan asee labda mikoaniKwamba lile nyomi la watu wote pale baracks, DPA n.k na bado wameomba watu wengine tena kuongezwa
Huko kwenu methodinhoWale wa kitenge,mjiandae sasa....Linda mwili wako..
Kuna idadi waliopaswa kuajiri mfano 1000... Wameomba kuongeza idadi mfano 1500... Nadhani umeelewa sasaKwamba lile nyomi la watu wote pale baracks, DPA n.k na bado wameomba watu wengine tena kuongezwa
Mkuuu kitenge wapi tenaHuko kwenu methodinho
Maana kama PT sikuwa na vgezo, UT wamenipiga ndoige kweupe, MT nako kuzidi umri ndoige kubwa.....haya hiko kitenge cha wapi tena chiefHuko kwenu methodinho
Anamaanisha TPDFMaana kama PT sikuwa na vgezo, UT wamenipiga ndoige kweupe, MT nako kuzidi umri ndoige kubwa.....haya hiko kitenge cha wapi tena chief
Hakuna kinachoshindikana kakaMaana kama PT sikuwa na vgezo, UT wamenipiga ndoige kweupe, MT nako kuzidi umri ndoige kubwa.....haya hiko kitenge cha wapi tena chief
Wazi afandeMtakaochaguliwa halfu mpo humu msije mkasahau kuomba na kusali ..nguvu unazotumia kuomba na kusali sasa hv ili upate hyo nafasi ...tumia hyo hyo nguvu kumshukuru Yehova aliekupatia hyo nafasi
Nini kinaendelea?Wale wa kitenge,mjiandae sasa....Linda mwili wako..
Nikazani Kitengo, anyway vipi lonja za yanayoendelea kwa jamaa wa vitengo (kaunda) au ndio hivyo tenaWale wa kitenge,mjiandae sasa....Linda mwili wako..
Nikazani Kitengo, anyway vipi lonja za yanayoendelea kwa jamaa wa vitengo (kaunda) au ndio hivyo tenaWale wa kitenge,mjiandae sasa....Linda mwili wako..
Mwaga lonja zaidi kamanda, wanataka fani gani watachukua kitaa au kambini ? Umri ukoje n.kWale wa kitenge,mjiandae sasa....Linda mwili wako..
Wenzenu Ulaya wakitumia vya jamaica huwa wanalala au ku relax nyie mnashika simu ndo matokeo yake mnapotosha umma..Em kama hujui ktu kaa kimyaNyie mapoti ndio mmepigwa ile jeshini tunaita " AS YOU WERE " au sio ? 😆😆😆😆, ajira za polisi zimesitishwa ,za ndaani kabisa hizo 😆😆😆