Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi mikoani kwa form six na 4 .wanafapitishwa huku huku mikoani au hadi majina yote yatumwe makao makuu ndipo wao wachague tena watu wao
 
Reactions: D96
Hivi mikoani kwa form six na 4 .wanafapitishwa huku huku mikoani au hadi majina yote yatumwe makao makuu ndipo wao wachague tena watu wao
@Choo Cha Kulipia
 
Hivi mikoani kwa form six na 4 .wanafapitishwa huku huku mikoani au hadi majina yote yatumwe makao makuu ndipo wao wachague tena watu wao
Shughuli yote kwa Mikoani inaishia huko,majina yatayoenda Makao Makuu ni kwaajili ya refference tu kuwa kuna fulani na fulani wamepita mkoa x.
 
Mm bado nipo kwenye list ya kusubiria hii sijui niite second selection ya PT,maana life linazidi kuwa tight aisee,
Sijui kuna wenzangu humu au wote mmesha amia kwenye kusubiria TPDF.?
 
Mungu mkubwa tu siku zote hadi sahiv hatujui hatima yetu [emoji22]
 
Mm bado nipo kwenye list ya kusubiria hii sijui niite second selection ya PT,maana life linazidi kuwa tight aisee,
Sijui kuna wenzangu humu au wote mmesha amia kwenye kusubiria TPDF.?
Hawa wanaweza kuchukua watu wao kambini tena kwa kubagua kambi siwaamini Kabisa ndio mana hata baadhi ya kambi maservice wote wanagombea upolisi .au vigezo vikatutoa nje ya reli
 
Hujaitwa usaili wowote hadi sahivi
 
Hawa wanaweza kuchukua watu wao kambini tena kwa kubagua kambi siwaamini Kabisa ndio mana hata baadhi ya kambi maservice wote wanagombea upolisi .au vigezo vikatutoa nje ya reli
Nimetimiza kigezo cha kutopitia jkt na vingine vyote kutokana na hili tangazo la pili lililotoka tarehe 21.9.2021
 
Baba kanituma wanatupa changamoto Sana tuna mawazo Sana siye tusio baba kanituma.ila naamimi kama mungu amepanga rizik iwe yako ina kuwa .tuendelee kumuomba mungu
 
Unaweza jikuta umekidhi vigezo ila baadae ukakatwa akaingizwa baba kanituma .bongo kazi watu wanarishishana japo za serikali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…