Miaka yote mujibu hua wanachukuliwa hata saiv wapo msata wanapiga kozi hizi nafasi za Askari wa kawaida/wapiganaji Ni kwa ajili ya kujitolea au ww Ni komando kotoka mujibu nn unasema upo 92 af hujui vitu vidg ka ivSijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
Kama nafasi zikiwa za professionals sikatai mujibu wakipewa maana wengi Ni professionals lakini haimaanish kua kujitolea hamna pro's wapo ila Ni wachacheSijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
Ngj nkwambie ndugu mim naelewa km kila mwaka mujibu wanachukuliwa lkn weng wanachukuliwa km cadet sio huko mtaani..hta mim nilipata bahat kutok km cadet bulombora 821 wayback..haya sas huku mtaani mujibu sijawahi ona wameitwa kutwaa ajiraMiaka yote mujibu hua wanachukuliwa hata saiv wapo msata wanapiga kozi hizi nafasi za Askari wa kawaida/wapiganaji Ni kwa ajili ya kujitolea au ww Ni komando kotoka mujibu nn unasema upo 92 af hujui vitu vidg ka iv
Hii ndo sentensi uliotakiwa kunena..Kama nafasi zikiwa za professionals sikatai mujibu wakipewa maana wengi Ni professionals lakini haimaanish kua kujitolea hamna pro's wapo ila Ni wachache
Kwanza hamna 92 ambae hajaiva na anajitangaza kizembe ka iv hata soja kawaida hajitangazi unakua hujaiva we sema Ni dg tu uliewahi pita mujibu ndio maana huna unachoelewaFor Your Info:- Mi niko 92 hpa SangaSanga For 6 years hivyo nachokiongea nakifaham na nna uhakika nacho..stokujibu tena
Tatizo ni kwamba hauhitaji kunywa bahari nzima kujua km ina chumvi📌📌🔨Kwanza hamna 92 ambae hajaiva na anajitangaza kizembe ka iv hata soja kawaida hajitangazi unakua hujaiva we sema Ni dg tu uliewahi pita mujibu ndio maana huna unachoelewa
Ki utaratibu jeshi hua halichukui mtaani ila mwaka huu wamefanya ka favor tu kuwakumbka hao ma dg wa kujitolea maana walihenyeka Sana huku makambini af wakarudishwa nyumbani kinyonge Sana nd maana wameingiwa na roho ya ubinadamu kuwaita toka mtaaniNgj nkwambie ndugu mim naelewa km kila mwaka mujibu wanachukuliwa lkn weng wanachukuliwa km cadet sio huko mtaani..hta mim nilipata bahat kutok km cadet bulombora 821 wayback..haya sas huku mtaani mujibu sijawahi ona wameitwa kutwaa ajira
Ohk nailedKi utaratibu jeshi hua halichukui mtaani ila mwaka huu wamefanya ka favor tu kuwakumbka hao ma dg wa kujitolea maana walihenyeka Sana huku makambini af wakarudishwa nyumbani kinyonge Sana nd maana wameingiwa na roho ya ubinadamu kuwaita toka mtaani
Maana yake ni kwamba haujazaliwa na jeshi na haupo mwenyewe Tanzania nzima kwamba ukipita mujibu wa sheria na kujitolea upite wewe, ukipita mujibu inatosha achia wengne wapite kujitolea na huo ndo mgawanyo.Sio kweli! Ingekuwa hivyo basi mujibu wa sheria wangeruhusiwa kujitolea! Lakini ukishapita mujibu wa sheria huruhusiwi tena kujitolea! Nini maana yake? Pia ni utaratibu tu uliopo wengine wataingia kwa kujitolea na wengine kwa mujibu wa sheria! Fuatilia zamani jkt watu walikuwa wanapitia kwa mujibu tena ni mwaka mzima! So kila kitu ni utaratibu
You nailed itMaana yake ni kwamba haujazaliwa na jeshi na haupo mwenyewe Tanzania nzima kwamba ukipita mujibu wa sheria na kujitolea upite wewe, ukipita mujibu inatosha achia wengne wapite kujitolea na huo ndo mgawanyo.
Ukisema zamani unakuwa unakosea sana maana watu walikuwa hawataki kbsa kusikia kuhusu jeshi na mpaka ilifiki hatua wasomi walikuwa wanakuambia jeshi ni la watu waliofeli maisha ila kulingana na dunia inavyoenda uhaba wa ajira ndo kama hivyo ukipita huko inatosha mwenzako akipita huku inatosha
Mnaambiwa ukweli halafu hamtaki hahahah! Kwa Askari wa jeshi la wananchi kuchukua mujibu wa sheria ni uongo labda uwe na mtu wa kukusimamia tena ni mzito kishenzi ila kwa Afsa cadet inawezekana kama nilivyosema mwanzo hapoTupo humu subiri selection zitokee hutoamini kitakachotokea! Lolote linaweza kufanyika ww sio msemaji wa jeshi! Ni heri ukaandika kama maoni ila sio kama msemaji wa jeshi
Mimi naongelea kwa Askari na sio Afsa.Kwa kigezo chako fani utawatoa wapi?
Mfano madaktar utawotoa makambin wakiwa wamejitolea...
Both mujibu na kujitolea wanavigezo sawa vya kuajiriwa kwenye majeshi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe unaesema hivi ni umeondoka jeshini mda, hiyo unayoisema ni utaratibu wa mda sana nyuma kipindi jeshi la wananchi linahangaika kutafuta wasomi.Duuh sijui kwanini mnapenda kulazimisha ionekane kama mujibu wa sheria hawahitajiki jeshini wakati wakimaliza course huwa wanaulizwa kama kuna wanaopenda kubaki
JWTZ mujibu wa sheria wanahitajika sana na wanachukuliwa vizuri tu tena ndio hao wanaoenda kusoma military science na kuja kuwa officers
Wa kujitolea wengi huwa ni form four hawana fani na wengi huishia vyeo vya chini hivyo jeshi likihitaji fani wanachukua mujibu wa sheria kuwasomesha au zile degrees za uraiani special intake kama madoctor na maengineer
Mkuu mimi sio wa kujitole wala niniAliyeanzisha mambo ya kujitolea sijui mujibu hawafai kwenda atakuwa wa kujitolea huyo na aendelee kujitolea ...[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwingine huyu! Kwamba hakuna utofauti cheti ni kile kile? Hahahahuhakika tutabanana humo humo cheti ni kile kile mujibu na kujitolea cha muhimu tutume tu maombi kuliko kutokutuma huwezi jua ya Mungu mengi
Acha kukariri kijana! Nakukumbusha tu na kama ntakosea nielekezwe, katika op iliyoingia 4m 4 na la saba ni Op Samia kama sikosei na ni kwa lengo maalum ila op zingine mpaka masters huko kuanzia mabeyo, makao, mirerani, magufuli na kuendelea sasa wwe unavyosema sijui hawajasoma sijui unamaanisha niniYan umeandika Waraka wa Amani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule..kwa lengo tu la kutetea tumbo lako binafsi..sas for your information jeshi sio la watu kutoka Ikwiriri..lolote linatokea..mana hata 65% ya walio jitolea jkt lait wangelifika form six fagio la mujibu lisingewaacha salama[emoji419] PDF ndo zitaongea zaid story zingine zote tupa kapuni ka' big G iso na ladha
Lengo la mujibu kupita jeshini ni kupatiwa kitu kinaitwa ukakamavu na uzalendo na si vinginevyo ila wa kujitolea hilo la ajira linakuepo kabisa hata kwenye matangazo yao ya kujiunga na JKT kama ajira zitatolewa na serikali. ELEWA!!Sijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
Wewe ni Komando (Special Force)?For Your Info:- Mi niko 92 hpa SangaSanga For 6 years hivyo nachokiongea nakifaham na nna uhakika nacho..stokujibu tena