Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
Miaka yote mujibu hua wanachukuliwa hata saiv wapo msata wanapiga kozi hizi nafasi za Askari wa kawaida/wapiganaji Ni kwa ajili ya kujitolea au ww Ni komando kotoka mujibu nn unasema upo 92 af hujui vitu vidg ka iv
 
Kama nafasi zikiwa za professionals sikatai mujibu wakipewa maana wengi Ni professionals lakini haimaanish kua kujitolea hamna pro's wapo ila Ni wachache
 
Miaka yote mujibu hua wanachukuliwa hata saiv wapo msata wanapiga kozi hizi nafasi za Askari wa kawaida/wapiganaji Ni kwa ajili ya kujitolea au ww Ni komando kotoka mujibu nn unasema upo 92 af hujui vitu vidg ka iv
Ngj nkwambie ndugu mim naelewa km kila mwaka mujibu wanachukuliwa lkn weng wanachukuliwa km cadet sio huko mtaani..hta mim nilipata bahat kutok km cadet bulombora 821 wayback..haya sas huku mtaani mujibu sijawahi ona wameitwa kutwaa ajira
 
For Your Info:- Mi niko 92 hpa SangaSanga For 6 years hivyo nachokiongea nakifaham na nna uhakika nacho..stokujibu tena
Kwanza hamna 92 ambae hajaiva na anajitangaza kizembe ka iv hata soja kawaida hajitangazi unakua hujaiva we sema Ni dg tu uliewahi pita mujibu ndio maana huna unachoelewa
 
Kwanza hamna 92 ambae hajaiva na anajitangaza kizembe ka iv hata soja kawaida hajitangazi unakua hujaiva we sema Ni dg tu uliewahi pita mujibu ndio maana huna unachoelewa
Tatizo ni kwamba hauhitaji kunywa bahari nzima kujua km ina chumvi📌📌🔨
 
Ngj nkwambie ndugu mim naelewa km kila mwaka mujibu wanachukuliwa lkn weng wanachukuliwa km cadet sio huko mtaani..hta mim nilipata bahat kutok km cadet bulombora 821 wayback..haya sas huku mtaani mujibu sijawahi ona wameitwa kutwaa ajira
Ki utaratibu jeshi hua halichukui mtaani ila mwaka huu wamefanya ka favor tu kuwakumbka hao ma dg wa kujitolea maana walihenyeka Sana huku makambini af wakarudishwa nyumbani kinyonge Sana nd maana wameingiwa na roho ya ubinadamu kuwaita toka mtaani
 
Ohk nailed
 
Sio kweli! Ingekuwa hivyo basi mujibu wa sheria wangeruhusiwa kujitolea! Lakini ukishapita mujibu wa sheria huruhusiwi tena kujitolea! Nini maana yake? Pia ni utaratibu tu uliopo wengine wataingia kwa kujitolea na wengine kwa mujibu wa sheria! Fuatilia zamani jkt watu walikuwa wanapitia kwa mujibu tena ni mwaka mzima! So kila kitu ni utaratibu
Maana yake ni kwamba haujazaliwa na jeshi na haupo mwenyewe Tanzania nzima kwamba ukipita mujibu wa sheria na kujitolea upite wewe, ukipita mujibu inatosha achia wengne wapite kujitolea na huo ndo mgawanyo.

Ukisema zamani unakuwa unakosea sana maana watu walikuwa hawataki kbsa kusikia kuhusu jeshi na mpaka ilifiki hatua wasomi walikuwa wanakuambia jeshi ni la watu waliofeli maisha ila kulingana na dunia inavyoenda uhaba wa ajira ndo kama hivyo ukipita huko inatosha mwenzako akipita huku inatosha
 
You nailed it
 
Tupo humu subiri selection zitokee hutoamini kitakachotokea! Lolote linaweza kufanyika ww sio msemaji wa jeshi! Ni heri ukaandika kama maoni ila sio kama msemaji wa jeshi
Mnaambiwa ukweli halafu hamtaki hahahah! Kwa Askari wa jeshi la wananchi kuchukua mujibu wa sheria ni uongo labda uwe na mtu wa kukusimamia tena ni mzito kishenzi ila kwa Afsa cadet inawezekana kama nilivyosema mwanzo hapo
 
Duuh sijui kwanini mnapenda kulazimisha ionekane kama mujibu wa sheria hawahitajiki jeshini wakati wakimaliza course huwa wanaulizwa kama kuna wanaopenda kubaki

JWTZ mujibu wa sheria wanahitajika sana na wanachukuliwa vizuri tu tena ndio hao wanaoenda kusoma military science na kuja kuwa officers

Wa kujitolea wengi huwa ni form four hawana fani na wengi huishia vyeo vya chini hivyo jeshi likihitaji fani wanachukua mujibu wa sheria kuwasomesha au zile degrees za uraiani special intake kama madoctor na maengineer
Wewe unaesema hivi ni umeondoka jeshini mda, hiyo unayoisema ni utaratibu wa mda sana nyuma kipindi jeshi la wananchi linahangaika kutafuta wasomi.

Jipe tu quiz mwenyewe uwaulize hao op ya juzi kama waliambiwa hivyo au hata op 4 za nyuma kama waliambiwa hivi unavyosema wewe
 
Yan umeandika Waraka wa Amani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule..kwa lengo tu la kutetea tumbo lako binafsi..sas for your information jeshi sio la watu kutoka Ikwiriri..lolote linatokea..mana hata 65% ya walio jitolea jkt lait wangelifika form six fagio la mujibu lisingewaacha salama[emoji419] PDF ndo zitaongea zaid story zingine zote tupa kapuni ka' big G iso na ladha
Acha kukariri kijana! Nakukumbusha tu na kama ntakosea nielekezwe, katika op iliyoingia 4m 4 na la saba ni Op Samia kama sikosei na ni kwa lengo maalum ila op zingine mpaka masters huko kuanzia mabeyo, makao, mirerani, magufuli na kuendelea sasa wwe unavyosema sijui hawajasoma sijui unamaanisha nini
 
Sijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
Lengo la mujibu kupita jeshini ni kupatiwa kitu kinaitwa ukakamavu na uzalendo na si vinginevyo ila wa kujitolea hilo la ajira linakuepo kabisa hata kwenye matangazo yao ya kujiunga na JKT kama ajira zitatolewa na serikali. ELEWA!!
 
Back
Top Bottom