mudryk
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 174
- 224
Miaka yote mujibu hua wanachukuliwa hata saiv wapo msata wanapiga kozi hizi nafasi za Askari wa kawaida/wapiganaji Ni kwa ajili ya kujitolea au ww Ni komando kotoka mujibu nn unasema upo 92 af hujui vitu vidg ka ivSijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah