Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

JKT oparation inayo apa saivi imepiga kozi miezi 6 haijatimia ...au ndo maboresho nini
 
daah kupewa nafas kidogo tuu washaanza kuwachamba[emoji1][emoji28]
 
Hahah! Rudi juu soma bandiko langu moja nimeandika kabsa kuwa hakuna askari (mpiganaji) anachukuliwa mujbu wa sheria haipo yani hapa naongelea askari, hivi unajua maana ya askari kwanza isijekuwa nabishana na mtu ambae haelewi hajui ni nini!

Hakuna aliyekataa kuwa mujibu hawachukuliwi ila kwa askari hakuna mujibu anaehitajika ELEWA!

Na kama unabisha soma hata tangazo hili la juzi ndo utajua tunachomaanisha halafu kingine maisha ya mtu ambae hata simjui hayawezi niuma hata siku moja ila tunajaribu kuongea ukweli unasema eti inatuuma.
 
Sababu za kufeli zinaweza kuwa zipi chief? Au ndo hizo za kuwa unfit Labda na utovu WA nidhamu....
Zipo sababu nyingi tofaut tofaut mbal na hzo..kwamf. kn baadhi ya sheria ndg ndg tu unaweza ukadharau lakn kuna vtu vngne ni vdg ila ni vkubwa sana mf. Uniform ya siku ya paredi inatakiw upanga usimame ko unapopiga pasi hatujui hawatak kujua unaiweka wap ila isipinde ata kdg
 
Vyeti, afya , vifo , utoro na utovu wa nidhamu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tena kama hiyo utoro em ipigie mstari kdg mana vijana wakiwa wamechelewa kulala ile after two monthly vikianza vipindi vya Class session na Range session wanakuw na usingiz mwing kwahyo mtu anacha kwend session ili alale macho mekunduu
 
Alieleta shida kwenye issue ya Mara mujibu Mara wakujitolea ni yule alayesema mujibu hawafai kabisa kwenye majeshi maana kozi yao n semina ya miezi mitatu[emoji3][emoji3]
Nashangaa kuona kakimbia simuoni Tena ...
Tuachane na kabisa Ila jua kwamba mujibu na kujitolea wote ni service man na service girl Basi...mambo ya huyu anaajiriwa yule haajiriw hayo achana nayo pambania kombe lako mwenyewe...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Daah hyo kunyoosha suruali mpk upanga nilikuwa naona uwaki Sana enzi hizo shuleni[emoji23]
 
Hao mujibu kuruhusiwa kuomba zile nafasi za professionals za polisi washajiona Wana haki kila sehemu Tpdf wenyew wanajua utofauti Kati ya mujibu na kujitolea uko wapi ndio maana kwenye Tangazo lao hawajawataka mujibu wamesema kujitolea waliokaa miaka miwili na zaid sasa nyie mujibu mnajitekenya na kucheka wenyewe hongereni subirin ndoige tu hamna namna
 
Em kua specific kwamba Ni usaili gani ambao Tpdf huchukua mujibu straight kwenda kua Askri/mpiganaji achana na hiyo ya kuchukuliwa kwenda military science ni kawaida Miaka yote hua wanachukuliwa mbna unarudia blah blah zile zile
 
Sasa mfano Hapa unasema kabisa kua ndg yako alichukuliwa kama military science huko mbele mwnyw ndio alizingua Ina maana hakuchukuliwa straight kua Askari haikua lengo Ni Circumstances zilitokea
 
Usibishane nao mkuu maana wanajaribu kupingana na ukweli we waambie tu wa Applly na vyeti vyao vya mujibu wasubirie majibu yakishatoka ndio watajua utofauti uko wapi saiv hawawez kukuelewa
 
Tuanze na chi za kiarabu zinazonyanyasa wafanyakazi wa kiafrika wanaoenda kufanya kazi huko hasa kazi za ndani.

Kama kweli tunaumia watu wakiteseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…