bubex_jr
Senior Member
- Dec 28, 2022
- 113
- 83
Vyeti, afya , vifo , utoro na utovu wa nidhamuSababu za kufeli zinaweza kuwa zipi chief? Au ndo hizo za kuwa unfit Labda na utovu WA nidhamu....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti, afya , vifo , utoro na utovu wa nidhamuSababu za kufeli zinaweza kuwa zipi chief? Au ndo hizo za kuwa unfit Labda na utovu WA nidhamu....
daah kupewa nafas kidogo tuu washaanza kuwachamba[emoji1][emoji28]Muwasamehe bure tuu... Shida wanazopata huko lazima wadate!!
Mashamba ya kwenda.(mpunga chita, Embakasi-mlale, Milundikwa mahindi... Bado ujenzi wa kufa mtu)
Ulinzi na ukakamavu siku zote za miaka yao!! Lazima wajisahau mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Rudi juu soma bandiko langu moja nimeandika kabsa kuwa hakuna askari (mpiganaji) anachukuliwa mujbu wa sheria haipo yani hapa naongelea askari, hivi unajua maana ya askari kwanza isijekuwa nabishana na mtu ambae haelewi hajui ni nini!Yani unanibishia wakati mimi nina mifano hivi ni kwamba una uhakika na unachokiandika au unabishana tu mradi usionekane umeshindwa, hapa ndio naamini kweli jf kuna watu wanajifanya wajuaji kumbe hawajui, kijana labda jeshi la baba yako ndio ambalo halichukui mujibu wa sheria lakini haya tunayoyajua sisi wanachukuliwa tena kila mwaka na hakuna kitu wa kujitolea mtafanya hata kama inawauma
Zipo sababu nyingi tofaut tofaut mbal na hzo..kwamf. kn baadhi ya sheria ndg ndg tu unaweza ukadharau lakn kuna vtu vngne ni vdg ila ni vkubwa sana mf. Uniform ya siku ya paredi inatakiw upanga usimame ko unapopiga pasi hatujui hawatak kujua unaiweka wap ila isipinde ata kdgSababu za kufeli zinaweza kuwa zipi chief? Au ndo hizo za kuwa unfit Labda na utovu WA nidhamu....
Tena kama hiyo utoro em ipigie mstari kdg mana vijana wakiwa wamechelewa kulala ile after two monthly vikianza vipindi vya Class session na Range session wanakuw na usingiz mwing kwahyo mtu anacha kwend session ili alale macho mekunduuVyeti, afya , vifo , utoro na utovu wa nidhamu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Daah hyo kunyoosha suruali mpk upanga nilikuwa naona uwaki Sana enzi hizo shuleni[emoji23]Zipo sababu nyingi tofaut tofaut mbal na hzo..kwamf. kn baadhi ya sheria ndg ndg tu unaweza ukadharau lakn kuna vtu vngne ni vdg ila ni vkubwa sana mf. Uniform ya siku ya paredi inatakiw upanga usimame ko unapopiga pasi hatujui hawatak kujua unaiweka wap ila isipinde ata kdg
mbona mambo nusunusu kila sikuWale wa PT Linda mwili wako..
Linda mwili wako ndio kuanzia sasa ni dakika za kuhesabumbona mambo nusunusu kila siku
Hao mujibu kuruhusiwa kuomba zile nafasi za professionals za polisi washajiona Wana haki kila sehemu Tpdf wenyew wanajua utofauti Kati ya mujibu na kujitolea uko wapi ndio maana kwenye Tangazo lao hawajawataka mujibu wamesema kujitolea waliokaa miaka miwili na zaid sasa nyie mujibu mnajitekenya na kucheka wenyewe hongereni subirin ndoige tu hamna namnaAlieleta shida kwenye issue ya Mara mujibu Mara wakujitolea ni yule alayesema mujibu hawafai kabisa kwenye majeshi maana kozi yao n semina ya miezi mitatu[emoji3][emoji3]
Nashangaa kuona kakimbia simuoni Tena ...
Tuachane na kabisa Ila jua kwamba mujibu na kujitolea wote ni service man na service girl Basi...mambo ya huyu anaajiriwa yule haajiriw hayo achana nayo pambania kombe lako mwenyewe...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Em kua specific kwamba Ni usaili gani ambao Tpdf huchukua mujibu straight kwenda kua Askri/mpiganaji achana na hiyo ya kuchukuliwa kwenda military science ni kawaida Miaka yote hua wanachukuliwa mbna unarudia blah blah zile zileWewe ungekuwa umesoma comments zangu ulizoziquote, wala usingeandika hili gazeti lote eti mimi sijui maana ya askari, hivi huwa mnahisi huko jeshini mlipita peke yenu au kwamba ninyi ndio mnalijua sana jeshi kuliko wengine wote
Ndio nakuambia sasa askari wa mujibu wa sheria wapo wengi tu, maana kumbuka si kila mujibu hufanikiwa kuchaguliwa kwenda monduli kupiga military science au officer cadet wengine hukosa hizo nafasi hivyo huishia kuwa askari tu, au unataka kuwadanganya wenzio hapa kuwa mujibu hawapiti kihangaiko na oljoro
Huyo ndugu yangu ninayekuambia amepita mujibu op samia aliendelea na course ya ajira akaenda msata wameapa mwaka jana, form six wakachukuliwa kuenda monduli kuanza military science sema yeye akiwa huko kuna ishu alizingua, akarudishwa kambini kabaki kama private tu acha ubishi na ujuaji kijana
Sasa mfano Hapa unasema kabisa kua ndg yako alichukuliwa kama military science huko mbele mwnyw ndio alizingua Ina maana hakuchukuliwa straight kua Askari haikua lengo Ni Circumstances zilitokeaWewe ungekuwa umesoma comments zangu ulizoziquote, wala usingeandika hili gazeti lote eti mimi sijui maana ya askari, hivi huwa mnahisi huko jeshini mlipita peke yenu au kwamba ninyi ndio mnalijua sana jeshi kuliko wengine wote
Ndio nakuambia sasa askari wa mujibu wa sheria wapo wengi tu, maana kumbuka si kila mujibu hufanikiwa kuchaguliwa kwenda monduli kupiga military science au officer cadet wengine hukosa hizo nafasi hivyo huishia kuwa askari tu, au unataka kuwadanganya wenzio hapa kuwa mujibu hawapiti kihangaiko na oljoro
Huyo ndugu yangu ninayekuambia amepita mujibu op samia aliendelea na course ya ajira akaenda msata wameapa mwaka jana, form six wakachukuliwa kuenda monduli kuanza military science sema yeye akiwa huko kuna ishu alizingua, akarudishwa kambini kabaki kama private tu acha ubishi na ujuaji kijana
Usibishane nao mkuu maana wanajaribu kupingana na ukweli we waambie tu wa Applly na vyeti vyao vya mujibu wasubirie majibu yakishatoka ndio watajua utofauti uko wapi saiv hawawez kukuelewaHahah! Rudi juu soma bandiko langu moja nimeandika kabsa kuwa hakuna askari (mpiganaji) anachukuliwa mujbu wa sheria haipo yani hapa naongelea askari, hivi unajua maana ya askari kwanza isijekuwa nabishana na mtu ambae haelewi hajui ni nini!
Hakuna aliyekataa kuwa mujibu hawachukuliwi ila kwa askari hakuna mujibu anaehitajika ELEWA!
Na kama unabisha soma hata tangazo hili la juzi ndo utajua tunachomaanisha halafu kingine maisha ya mtu ambae hata simjui hayawezi niuma hata siku moja ila tunajaribu kuongea ukweli unasema eti inatuuma.
Nenda kawaulize mkuu utapata majibu.JKT oparation inayo apa saivi imepiga kozi miezi 6 haijatimia ...au ndo maboresho nini
Irrelevant claims/ comparison with what kinajadiliwa hapaTuanze na chi za kiarabu zinazonyanyasa wafanyakazi wa kiafrika wanaoenda kufanya kazi huko hasa kazi za ndani.
Kama kweli tunaumia watu wakiteseka.
Kama una uwezo wa kujaribu, jaribu tu ila nikuhakikishie wapo wa mujibu ambao wataingia hiyo depo. Mark my wordsUsibishane nao mkuu maana wanajaribu kupingana na ukweli we waambie tu wa Applly na vyeti vyao vya mujibu wasubirie majibu yakishatoka ndio watajua utofauti uko wapi saiv hawawez kukuelewa
Sikatai wenye mibanga wanaweza ila sio utegemee bahati yani ka magereza walikula ndoige ndo iwe TpdfKama una uwezo wa kujaribu, jaribu tu ila nikuhakikishie wapo wa mujibu ambao wataingia hiyo depo. Mark my words