Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mzee baba nyomi la watu sio poa
Hatari unaambiwa watu wanapishana vibaya sana mlangoni....ila nahisi nyomi ni leo tu coz watu wengi wanapeleka leo ili ziwah kufika muda wenyewe mdogo sana wameweka....ila ukweli watu ni wengi
 
Sasa ndo unambie huo mfumo waliotumia wao kuingia chomboni!

Kwa wa kujitolea utaratibu ni huu usaili utafanyishwa ndani ya vikosi na majina kurudi kwenye vikosi na waliobahatika wataenda kupga kozi au lbda kuna op zinahitajika za nyuma basi wataambiwa warudi vikosini na watapigishwa usail na kuondoka, nyingine ni zinatumwa meseji vikosini toka makao watu wote wakaripoti magari yanawaijia wanaondoka sasa wewe ndo unambie hao mujibu utaratibu upi umetumika mpaka wao waende msata au oljoro wakapige kozi ili wakawe askari?
 
We mara ya mwisho kutoka jeshini ni lini?

Mujibu wanaingia jeshini hadi na ukimwi na hawazuiliwi na mpaka wanamaliza kozi pia matattoo halafu unasema hakuna utofauti kati ya mujibu na kujitolea wengine hata uvungu wa miguuni hawana halafu unakaza fuvu hapa nenda hata saili za kujitolea utaona kama kuna mtua anaruhusiwa kuingia akiwa hata na tattoo au magonjwa ya kipumbavu.

Mtu anapiga kozi harusiwa hata kukaa chini mwanzo mwisho halafu leo huyo huyo mtu uje umfananishe na wa kujitolea ila we utakuwa una shida mahali sio bure
 
Wewe mara ya mwisho kutoka jeshini ni lini ili nkuambie yanayojiri sasa kuhusu mujibu wa sheria maana hujui kinachoendelea!
 
Hatari unaambiwa watu wanapishana vibaya sana mlangoni....ila nahisi nyomi ni leo tu coz watu wengi wanapeleka leo ili ziwah kufika muda wenyewe mdogo sana wameweka....ila ukweli watu ni wengi
Chief umeona hata wewe....yaani ni hatareee daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…