Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

bro militari polisi na civilian/metropolitan polis ni tofauti sana.MP anasimamia sheria za kambi ya kijeshi na sio jinai.MP awez hana mamlaka kma ya polisi wa kawaida.
 
Musoma baada ya kurudisha form wameambiwa nyie mmefanikiwa kuchaguliwa kwaiyo majina yenu yatatolewa mtandaoni ..hiyo ndio ronja nilopewa na mdau huko
Kumbe mzigo wote utakuwa kwenye Website,asee PDF itabeba mengi ba inasubiriwa Kwa hamuu
 
Acheni kuchagua jamani komaeni kwanza na hizi.. hizo TPDF Ni balaa
 
Nimetia chumvi wapi Mkuu,IGP wakati anafunga kozi ya Sajenti juzi CCP alisema kozi za Askari wapya zitakuwa mwaka mmoja badala ya miezi 9.
Umesema vyombo vyote vilivyoko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Alaf hapa ukaongelea IGP, sasa IGP ni mkuu wa chombo kimoja tu. Iweje useme vyombo vyote vya Mambo ya Ndani?
Hoja yangu ilikuwa hapo.
Kila chombo kina taratibu zake na miongozo yake ikiwemo muda wa mafunzo, na sio lazima vifanane.

Yanayofanyika Magereza sio lazima yawe sawa na Polisi wala Fire, wala Immigration.
 
Hujanielewa na unataka kubishana tu.
 
Update:tanga watu leo wamerejesha form walizopewa ijumaa na wameambiwa shughuli imekwisha murudi majumbani majina yatatumwa dodoma makao makuu kisha wao ndiyo watayatuma kwenye website ya polisi tarehe haijulikani pia wameambiwa ni ruksa kuja kuangalia ubao matangazo ili kama hauna simu kubwa na au mawasiliano ili ufaham kinacho endelea
 
Watoa hukumu makao makuu ... tuendelee kujuzana
 
Kumbe HQ ndio muamuzi wa mwishoo
 
Maisha na harakati mitandaoni kumbe ni vitu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…