Jeshi Magumashi sana bongo hapa ,niliwaambia hapa , kutoboa ni ngumu sana kama huna mbanga
Yan humo wamejaa watoto wa wakubwa tu daah!!Jeshi Magumashi sana bongo hapa ,niliwaambia hapa , kutoboa ni ngumu sana kama huna mbanga
Umri kaka!! Naona kabsa umri wa kuingia huko unanitupa mkono dahunakataje tamaa mapema askari?
MZee tutazama tu chomboni
Hapo czan kuwa ndo wametokea makao makuu dodoma..nafikiri ndo walivyopangiwa kukutana Kwa ajili ya safariPoleni sana vijana..
Naona walIoomba kwa Degree wapo 203 Bara. Na wote wametokela Makao Makuu Dodoma.
Sikuona Tangazo la Maombi, je wao hawakupaswa kuomba kwa Makamanda wa Mikoa?
Nacheka kama mazuri vile[emoji23] [emoji23]Naona kumepoa nimeumia mpka nacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yan for sure kama huna mtu ndani ya jeshi au Hana power kubwa usiombe tu
Me cheti Cha JKT nakichoma kesho
Mkuu usifike hukoMe cheti Cha JKT nakichoma kesho