Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Poleni sana vijana..

Naona walIoomba kwa Degree wapo 203 Bara. Na wote wametokela Makao Makuu Dodoma.

Sikuona Tangazo la Maombi, je wao hawakupaswa kuomba kwa Makamanda wa Mikoa?
Hapo czan kuwa ndo wametokea makao makuu dodoma..nafikiri ndo walivyopangiwa kukutana Kwa ajili ya safari

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Naona kumepoa nimeumia mpka nacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yan for sure kama huna mtu ndani ya jeshi au Hana power kubwa usiombe tu
 
Back
Top Bottom