Ni kweli asee...kuna watu waliondoka ccp kwa sababu za zilizofikirisha sana ila tunakuja kukutana nao kitaa wapo ofisi nyeti ...unaanza kujiuliza hawa jamaa ni kunguru weusiHilo mkuu umewakumbusha vijana wao watafikiri wote wanapiga kozi kumbe wengine kazi maalumu tena maalumu na wengine wataondoka ghafla hawatawaona
Reserve unaipambania sio kusubir tu kama itadondoshwa kutoka mbingunMkuu Ndege tai naww unasubiri reserve??
Mkuu Ndege tai naww unasubiri reserve?
Kabisa mkuu kukata tamaa ni mwikoChief nikiwa darasani huwa nawaambia wanafunzi wangu ..."usikate tamaa mpaka unaingia kaburini"
Daaah hao watu balaa..niliwahi soma kitabu kimoja jinsi wanavyokua recruited na jinsi wanavyoishi japo kimeelezea kwa juu juu ilaaa vitu vingi nilivifahamuNi kweli asee...kuna watu waliondoka ccp kwa sababu za zilizofikirisha sana ila tunakuja kukutana nao kitaa wapo ofisi nyeti ...unaanza kujiuliza hawa jamaa ni kunguru weusi
Nilisema hili pia mkuu,Bado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.
Shwari kabisa mkuu ushauri mzuriVipi mkuu?
Nilisema hili pia mkuu,
Shukrani kwa kulikazia maana vijana kuna muda hatuaminiani
Kuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
Ukihudhuria course basi utakiona hicho kipya. Kumbuka utendaji kazi wa polisi sio sawa na utendaji kazi wa JWTZ so hiyo comparison yako becomes null n voidKuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???
Labda wakihesabu na ya uzalendo inaweza fika[emoji3]Kuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???
Nakweli hapa tukicheza vibaya tutapigwaHio reserve ndio pakupigiwa mstari wengi hawafahamu
Hakika maana mtaa pagumuwakuu .mwenye connection na hizo reserve za PT tusaidiane .riziki .
Mkuu kuna ujumbe wako Pm.Ukihudhuria course basi utakiona hicho kipya. Kumbuka utendaji kazi wa polisi sio sawa na utendaji kazi wa JWTZ so hiyo comparison yako becomes null n void
Wenye connection tunaomba mtusaidie vijana wenu hali ni mbaya uku mtaaniwakuu .mwenye connection na hizo reserve za PT tusaidiane .riziki .
Mkuu week ijayo muda kama huu utatoweka kabisa humu alooooMkuu kuna ujumbe wako Pm.
[emoji23][emoji23] balaa mkuu!! Ni kivumbi tuu!!Mkuu week ijayo muda kama huu utatoweka kabisa humu aloooo