Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hilo mkuu umewakumbusha vijana wao watafikiri wote wanapiga kozi kumbe wengine kazi maalumu tena maalumu na wengine wataondoka ghafla hawatawaona
Ni kweli asee...kuna watu waliondoka ccp kwa sababu za zilizofikirisha sana ila tunakuja kukutana nao kitaa wapo ofisi nyeti ...unaanza kujiuliza hawa jamaa ni kunguru weusi
 
Ni kweli asee...kuna watu waliondoka ccp kwa sababu za zilizofikirisha sana ila tunakuja kukutana nao kitaa wapo ofisi nyeti ...unaanza kujiuliza hawa jamaa ni kunguru weusi
Daaah hao watu balaa..niliwahi soma kitabu kimoja jinsi wanavyokua recruited na jinsi wanavyoishi japo kimeelezea kwa juu juu ilaaa vitu vingi nilivifahamu
 
Nilisema hili pia mkuu,

Shukrani kwa kulikazia maana vijana kuna muda hatuaminiani

Me naomba kujulishwa vizuri, hii mambo ya reserve ni Kuwa ukipambania ndo unapata au wanakupigia simu wao kama wao au watatoa batch nyingne kama walivyotoa mwanzo au n mambo ya kimya kmya
 
Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
Kuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???
 
Kuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???
Ukihudhuria course basi utakiona hicho kipya. Kumbuka utendaji kazi wa polisi sio sawa na utendaji kazi wa JWTZ so hiyo comparison yako becomes null n void
 
Back
Top Bottom