Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best